Kwa hiyo polisi asipovaa helmet na wewe huvai!!!!????
Wasipotii sheria wao bila shuruti haiwezi kuwa vurugu hata siku moja.
Wewe ukiwaiga utakamatwa na utawekwa ndani na sheria itakutafuna.unajua kwann??
Wapo kwa ajir ya watu wanaovunja sheria.
Wajeda walikuja na siraha gani.
Ok!kama wao wameshindwa kuongoza kwa mfano basi!IDUMU KAULI YA PINDA!
LMG!Upo?
Hahaa et LMG,una uhakika majambazi walijisalimisha kwa sababu ya LMG!!! Au wingi wa askari nje ya nyumba.
Mwaka 2008 pale Njiro Arusha polisi waliposhindwa kuwatoa majambazi waliojichimbia kwny nyumba moja ndipo wakaitwa wajeda wakawatifua mpk wakajisalimisha wenyewe!hii nilishuhudia mwenyewe!
Hv unaijua LMG lkn?
Wale wa KNY waliochomeshewa na demu ...jamaa walikuwa wanapiga matukio ya kutosha benki, porisi kujichanganya kuwasaka ile wana wagumia kwenye angle zao kumbe majambazi yalikuwa na siraha nzito sana
kwani majambazi walikuwa "full-mass in order" kwani walikuwa vizuri sana kimapambano (mkono ulipigwa kuanzia mida ya saa nne mpaka mchana) , mziki ulikuwa kwenye ile nyumba ya ghorofa (huku majambazi yakiwa makundi mawili wengine juu wengine chini) na kituo chao FFU kikiwa umbali mfupi tu kama mita 400 , baada ya kukutana na mziki wa mababu ikabidi waje 6 week toka monduli , na wakatanagaza kuwa wanachi tukae umbali wa ziaid ya mita 100 . Ila walivyofika wazee wa TMA walitoa amari moja tu kuwa washuke wajisalimishe lasivyo wana teremusha ghorofa lote kwa pigo moja la RPG. mbona jamaa walishuka mikono juu na polisi wakabaki wamebonga'aaa tu, yaani umenikumbusha mbali sana charii angu.
Chezea wajeda wewe wakiisha kuwa kwenye "mission impossible"Hahahaaaa!waliwastua kidogo na LMG jamaa si wakajibu!!walipockia ghorofa itashushwa na RPG ndo wakagundua kuwa wale sio polisi tena bali ni wazee wa mwituni!wakajisalimisha!Unajua JESHI NDO NGUVU YA MWISHO KATIKA NCHI YOYOTE JESHI LIKISHINDWA MMEKWISHA!
Polisi wawaonee chadema tuu! Pal Mipango Dodoma niliwahi shuhudia polisi wa pikipiki wakipigwa vitasa na bunduki yao. Piga vitasa vya kufa mtu.Noma sana tulikaa mbali mno. Wajeda hawafai aisee
Idara pekee iliyobaki nchini kwetu ambayo haijaoza na rushwa ni Jeshi peke yake. (hasa huku chini) Naomba raisi ajae atumie jeshi walau kidogo tu kurushisha nidhamu, uwajibikaji na uchapa kazi Tanzania!
Kuhusu kuwapiga polisi...
una akili wewe?au ndiyo unaleta siasa hadi kwenye huu uzi unajua umuhimu wa jeshi la polisi nchini!?hiv unajua kuwa utulivu ambao tunao ndani ya nchi ni kazi ya polisi?au wewe ni ukawa!?
Hivi wewe unakijua unacho kiongea au unashabikia tu, nikuulize swali moja mwanajeshi utampa rushwa katika mazingira yepi, kuna huduma gani ambayo anaitoa kwa mwananchi mmoja mmoja, ambako anaweza kupewa rushwa.swali la pili nitajie nnchi moja hapa duniani amboyo polisi wanapendwa na wananchi wake.
Nimesoma gazeti moja inasemekana majeruhi walikuwa 12 kwenye hiyo battle,kati ya hao kuna Police,Wanajeshi na Raia.Wote waliruhusiwa kutoka hospital kasoro wanajeshi wawili waliojeruhiwa vibaya kwa risasi
Hv unaijua LMG lkn?
....
![]()