Sinunui tena simu ya Huawei

Heloo

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
4,223
2,000
Yaani jamani sio siri Wema ndio kila kitu kwa wadada walio wengi Dar es salaam baada ya kuziponda simu haina ya TECNO NA huawei WENGI sasa hawazitaki tena.

Nina ndugu yangu mmoja ana duka kariakoo ya simu ameshangazwa na maneno ya wateja hasa akina dada wakisema tupe simu aina yoyote lakini si alizoponda madam akauliza ndo nani mpaka iwe ivi ! maana angekuwa mmoja ungesema ana lake jambo!

Nimeamini ndo mana makampuni makubwa kama Airtel wanamtumia kwa sababu ana kitu cha ziada.

Ndani ya lisaa biashara inadoda ?

WEMA nitakukumbuka DAIMA no one!!! sijui ana kitu gani jamani nyota yake na kali sana!!
 
lolowapi

JF-Expert Member
Aug 3, 2014
1,138
1,250
Yaani jamani sio siri WEMA NDO KILA kitu kwa wadada walio wengi DARISALAMA baada ya kuziponda simu haina ya TECNO NA huawei WENGI sasa hawazitaki tena....nina ndugu yangu mmoja ana duka kariakoo ya simu ameshangazwa na maneno ya wateja hasa akina DADA wakisema tupe simu aina yoyote lakini si alizoponda madam akauliza ndo nani mpaka iwe ivi....mana angekuwa mmoja ungesema ana lake jambo!
NIMEAMINI ndo mana makampuni makubwa kama AIRTELL wanamtumia ana kitu cha zida..
NDANI YA LISAA BIASHARA INADODA?
UUUUUUUUUUWIIIIIIIIIII WEMA nitakukumbuka DAIMA no one!!! sijui ana kitu gani jamani nyota yake na kali sana!!
Hongera sana huo ndio ukweli,kuna mijitu itakuja kupinga hapa,
 
Tabrett

JF-Expert Member
Jun 5, 2013
515
500
Yaani jamani sio siri WEMA NDO KILA kitu kwa wadada walio wengi DARISALAMA baada ya kuziponda simu haina ya TECNO NA huawei WENGI sasa hawazitaki tena....nina ndugu yangu mmoja ana duka kariakoo ya simu ameshangazwa na maneno ya wateja hasa akina DADA wakisema tupe simu aina yoyote lakini si alizoponda madam akauliza ndo nani mpaka iwe ivi....mana angekuwa mmoja ungesema ana lake jambo!
NIMEAMINI ndo mana makampuni makubwa kama AIRTELL wanamtumia ana kitu cha zida..
NDANI YA LISAA BIASHARA INADODA?
UUUUUUUUUUWIIIIIIIIIII WEMA nitakukumbuka DAIMA no one!!! sijui ana kitu gani jamani nyota yake na kali sana!!
Samahani kwa kung'amua haya...kama wewe mwenyewe si Wema basi ni rafiki yako wa karibu...unajipa kick kijinga
 
charty

JF-Expert Member
Oct 28, 2013
7,363
2,000
Hivi huyu dada ana kazi gani au biashara gani hapa mjini halali..tuanzie hapa...maana mi naona kama tunda la msimu
 
theki

JF-Expert Member
Nov 1, 2013
2,724
1,195
Yaani jamani sio siri Wema ndio kila kitu kwa wadada walio wengi Dar es salaam baada ya kuziponda simu haina ya TECNO NA huawei WENGI sasa hawazitaki tena.

Nina ndugu yangu mmoja ana duka kariakoo ya simu ameshangazwa na maneno ya wateja hasa akina dada wakisema tupe simu aina yoyote lakini si alizoponda madam akauliza ndo nani mpaka iwe ivi ! maana angekuwa mmoja ungesema ana lake jambo!

Nimeamini ndo mana makampuni makubwa kama Airtel wanamtumia kwa sababu ana kitu cha ziada.

Ndani ya lisaa biashara inadoda ?

UUUUUUUUUUWIIIIIIIIIII WEMA nitakukumbuka DAIMA no one!!! sijui ana kitu gani jamani nyota yake na kali sana!!
Hahahaha team Wema
 
Ney wa Barca

JF-Expert Member
Feb 14, 2011
310
170
pumbavu zenu mnaoshabikia ujinga aliosema kama mnamfuatisha kila anachosema na kufanya igeni na umalaya wake mfyuuuuu zenu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom