hyusuph
JF-Expert Member
- Dec 5, 2013
- 1,655
- 693
Bora kwenye music tunaeleweka lakini muvi??? wamebaki na soko la house girl tu
Teh te tee
Bora kwenye music tunaeleweka lakini muvi??? wamebaki na soko la house girl tu
Ukizungumzia ubovu wa comedy za bongo unanikumbushia Futuhi ya startv.Huwa nawaza hii futuhi inaendeshwa na vichaa!
Ni kweli ulichosema lakini liangalie pia jambo hili kwa upande mwingine ukiacha ubovu WA wasanii.
Na basata wanabana sana wanawachugulia mahudhui ya michezo.
Kwa mfano ukiigiza visa vinavyohusu shekh au mchungaji unaambiwa unakashifu dini wanazuia.
Ukiigiza mambo ya mashoga utaambiwa unaaribu jamii.
Kwa iyo na ukiritimba upon pia!.
Umeona sasa!!ndo tatizo letu baadhi ya wabongo!kupenda kubemenda watoto,mtoto kazaliwa tu unataka umlishe maugali eti apate nguvu za miguu atembee!miaka 15 mtoto cjui ndo yuko form one bado ana akili za utotoutoto hawezi hata kujitegemea bado anahitaji malezi na muongozo zaidi!sasa miaka 15 fuatilia hata historia ya wale ambao wengi tunafikiri kwmba they are the best in film industry hlf uone walikuwa wapi!Tuwape changamoto wasanii wetu na si kuwaponda!
He he he wanaiga hadi kushinda marathon kutoka TZ. Juzi wameandika rekodi mpya ya marothon chini ya masaa mawili na dakika tatu.
Hatoki mtu hapa! Tutabanana hadi kazi bora zipatikane, siyo Bora kazi!
what else? Al shabab????
Simplemind?w.t.f?
Ndiyo dawa yake?????????
Haya. Hongera kwa kufurahia futuhi!Weeeeee achana na futuhi wewe,jamaa wa futuhi wanajua ndugu.
Sema watu kama wa eatv + channel ten ndo comed zao za kipumbavu......