Recent content by dickchiller

  1. dickchiller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Huu ndio mchele kitumbo
  2. dickchiller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    To be honestly hizi chia maharage zilikua dar miaka 90 mwanzo huko , halafu zikaanza DCM hadi sasa hivi ni historia, huwezi kuta chai maharage a.k.a matatu sehemu yeyote Tanzania
  3. dickchiller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Sinohydro again , mhhh hawa jamaa ndio best bidder kila project kweli???
  4. dickchiller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kwa maelezo ya Egyptian ni kwamba mnatembea ana mixture kukimbia kwa nauli hamna. Ndio maana riadha ipo kwenye damu yenu
  5. dickchiller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Deep sea slum ndio leo naisikia , ndio yule tony alikua anasema kuna mengi hatujui huko kunyaland
  6. dickchiller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kwa hela zako za kudownload kwenye mitandao? Bwana mapesa una vituko sana . Your comedian
  7. dickchiller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mtambo wa chang'aa
  8. dickchiller

    JamiiForums Tanzania Pigo la mwisho kwa Thadei Ole Mushi: Katoliki wakataa kumzika kwa kuwa aliwapinga TEC kuhusu DPW

    Na maaskofu wa Afrika wanaompinga papa kuhusu mapenzi ya jinsia moja nao watachukuliwa hatua gani?
  9. dickchiller

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    ***** huu utapeli mtupu nishawali lipia kwa jamaa siku akibahatisha anaomba unitumie tena chochote. Anasemaga tutume screenshot . Anachukua won ticket huko analeta kujifanya yeye mwamba hili uvutiwe . Kama unashinda accurate daily kachukue mkopo benki halafu halafu uweke upate mahela mengi
  10. dickchiller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Halafu eti mnaongoza kulima avocado [emoji1649] kweli? Mnashindwafa ya serious horticulture kwa ajili ya mboga mbona
  11. dickchiller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Inaonesha demand ya ndege za mizigo ni kubwa sana
  12. dickchiller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kwa hiyo dar yote inapigwa BRT leo wanasaini mikataba including daraja la jangwani Dar baada ya miaka minne miundombinu itakua hatari sana
  13. dickchiller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Nimesikia kwenye speech ya profesa janabi kasema katika east Afrika muhimbili ndio the best . I hope professor janabi is not politician. Anasema kitu cha kweli maana yeye mwenyewe ni bingwa kwenye elimu ya afya
  14. dickchiller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Duh !!! Mi yaani sportpesa imeanza juzi wakati hilo neno pesa nakua nimelikuta , ebu acheni arrogance ya kikunya. Halafu si mnasema kiswahili hamjui mnataka English tu (tena mnaita kizungu) mnadhani ulaya wote wanajua kiingereza
  15. dickchiller

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Kiukweli miaka [emoji817] mingi sana. Sijui wanazingatia nini?
Back
Top Bottom