Ninavyifikili kama kocha atatoa uhuru wa mtu kucheza atakavyo kwa kiwango chake bila kuweka masharti magumu na kuwapanga wachezaji namba sahihi na kuwasikiliza wanachotaka, kuwapa anachotaka timu inaweza kufanya vizuri na kuwafurahisha washabiki. Mfano muone pogba ufaransa namba anayocheza...
Itatokana pesa hiyo umeipataje, lakini pesa inakupa furaha kubwa na familia kwa ujumla na jamii +taasisi za dini na jumuiya mbalimbali ziakutambua. Hakikisha pesa hizo zinatumika kwa usahihi la sivyo unaweza ukakosa raha ya milele
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.