Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kabla ya mourinho hao wachezaji wazuri walitufikisha nafasi za ngapi? Ili tujue kocha kama kweli jawaharibu hadi tunapotea
Najua wengi watajikita ktk suala la martial hebu tumuangalie martial ukisikiliza sababh za kuachwa timu ya taifa na didier deschamps huwezi kumlaumu mourinhi sisi ni vile tunakwaida ya kupenda wachezaji wetu hilo tunaliweza alisema martial nilimuita mechi yetu na german alichezaa vizur lakin si kwa kiwango cha mbape na dembele wote tumeona kuna muda hao walilazimika kukaba na kupanda mbele wengi tuna mzarau giroud lakin akisimama mbela mabek wanapata tabu sana kwa nguvu zake kiasi kwamba lacazatte kabaki

Martial yupo vizur ila bado hana njaa ya kujituma ziadi hizi mech mbili za pre season kama umeangalia utagundua kwamba bado anahitaj kukaza sana mechi ya ac milan sanchez kacheza kama striker angalia purukushani zake ni hatari sana
Mbona wakina young wanafanya vizur

Lingard kaboresha sana kiwango chake tumpe credit kocha timu yetu inawachezaj wengi wa kawaida tunaijenga kwa sasa pogba kafanya vizur france lakin angalia watu wa kazi aliocheza nao matuid,kante nzonzi ni shida sana
 
People think Luke Shaw and Jose Mourinho have a bad relationship.

It's quite the opposite.
 
Attachments

  • Screenshot_20180727-083234.jpg
    Screenshot_20180727-083234.jpg
    73.1 KB · Views: 41
Kabla ya mourinho hao wachezaji wazuri walitufikisha nafasi za ngapi? Ili tujue kocha kama kweli jawaharibu hadi tunapotea
Najua wengi watajikita ktk suala la martial hebu tumuangalie martial ukisikiliza sababh za kuachwa timu ya taifa na didier deschamps huwezi kumlaumu mourinhi sisi ni vile tunakwaida ya kupenda wachezaji wetu hilo tunaliweza alisema martial nilimuita mechi yetu na german alichezaa vizur lakin si kwa kiwango cha mbape na dembele wote tumeona kuna muda hao walilazimika kukaba na kupanda mbele wengi tuna mzarau giroud lakin akisimama mbela mabek wanapata tabu sana kwa nguvu zake kiasi kwamba lacazatte kabaki

Martial yupo vizur ila bado hana njaa ya kujituma ziadi hizi mech mbili za pre season kama umeangalia utagundua kwamba bado anahitaj kukaza sana mechi ya ac milan sanchez kacheza kama striker angalia purukushani zake ni hatari sana
Mbona wakina young wanafanya vizur

Lingard kaboresha sana kiwango chake tumpe credit kocha timu yetu inawachezaj wengi wa kawaida tunaijenga kwa sasa pogba kafanya vizur france lakin angalia watu wa kazi aliocheza nao matuid,kante nzonzi ni shida sana
Martial mwezi december na january aliwasha moto hatari,ila akasajiliwa sanchez ambaye alichukua nafasi yake..hapo hata kujituma kunapungua,maana unaona kocha hana mpango na wewe..Sanchez amekuwa ovyo tokea alivyovaa jezi ya united..mechi chake tu ambazo ameonyesha impact kidogo kama ile ya mancity..sikuona haja ya yeye kusajiliwa,na sidhani kama ataprove sababu yoyote ya yeye kusajiliwa..

Msimu huu kama utabaki hivi kwa kumtegemea huyo lingard,sanchez smalling,basi tutegemee kutokuwa hata top three..
 
Kosa kubwa ambalo tutakuja kujuta mbeleni ni kumuuza Martial....huyu mourinho asituzingue
 
Jana Patrice Evra kupitia Instagram alitoa Ujumbe mzito sana
Wachezaji Wa Manchester United ```Wapiganie badge na mashabiki watakuwa mifukoni mwao"""
inaonekana Wachezaji Wengi wa timu yetu hawaijui Manchester United wanajichezea wanavyojua wao sasa tatizo ni kocha au mfumo? huu msimu tata kwangu kwakweli
 
Liverpool keshokutwa asubuhi inatazamiwa kukipiga na Manchester United katika Jiji la Michigan na tayari Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho ameanza kuipa presha timu hiyo kwa kudai inastahili kuchukua ubingwa.
 
*UEFA Champions League 2018-2019 Pots*

*ᴄʜᴀᴍᴘɪᴏɴs ʟᴇᴀɢᴜᴇ*

*POT *

Atletico Madrid
Barcelona
PSG
Lokomotiv Moscow
Bayern Munich
Juventus
Manchester City
Real Madrid

*POT *

Tottenham
FC Porto
Shakhtar Donetsk
SSC Napoli
Dortmund
Man United
Benfica
FC Basel

*POT *

Liverpool
Monaco
Schalke 04
Ajax
Roma
RB Salzburg
Lyon
CSKA Moscow

*POT *

Valencia
Viktoria Plzen
Club Brugge
Inter Milan
PSV Eindhoven
Celtic
Galatasaray
Hoffenheim
Port 5

Chelsea
Young africans
Wenge bcbg
Arsenal
Kakamega
Gorimahia
Fm academja
 
*Harry Maguire na mfupa uliowashinda Victor Lindelof na Dalley Blind Manchester United.*

Tetesi zimezagaa kwamba huenda mliniz wa Leicester Cuty Harry Maguire akajiunga na klabu ya Manchester United kama United watafanikiwa kukubaliana ada ya uhamisho na klabu ya Leicester City.

Wengi wamemfahamu Maguire kutokana na uwezo mkubwa aliouonesha timu ya taifa ya Uingereza wakati wa kombe la dunia lakini Maguire alikuwa pia na msimu mzuri na Leicester City.

Kama hufahamu tu kati ya mambo ya kuvutia kuhusu Maguire ni kila timu anayochezea lazima awe mchezaji bora wa msimu, alipokuwa Sheffield alikuwa mchezaji bora wa msimu mara tatu.

Baadaye akauzwa kwenda Hull City lakinj waliposhuka daraja akaenda Leicester City ambako nako pamoja na Jamie Vardy kufunga mabao 20 ila Harry akaibuka mchezaji bora wa msimu wa Leicester.

Uimara wake. Harry ni mzuri sana katika mipira ya hewani, amekuwa imara sana kuokoa mipira ya kona na vile vile pale timu inaposhambulia amekuwa na msaada mkubwa kupiga vichwa.

Katika msimu uliopita Manchester United walikuwa wabovu kwa kufunga mabao yatokanayo na mipira ya kutenga, wakishika nafasi ya 12 EPL kwa kufunga mabao ya set piece.

Na hii inaweza kuwa faida kubwa kwa United kumuongeza mpiga vichwa mwingine atakayeungana na Romelu Lukaku kujariby kuruka wakati wa kona na faulu.

Jose Mourinho amekuwa akipenda sana wapiga vichwa, John Terry, Drogba unakumbuka walivyompa matokeo na huyu sasa anaweza pia kuwa aina hasa ya watu wake Jose.

Lakini pia anapokuwa na mpira amekuwa mtulivu sana na hii inamfanya kuwa moja ya walinzi ambao wanakuwa na uhakika wa pasi pale timu inapokuwa uwanjani.

Udhaifu wake. Harry ikipigwa counter attack utamkataaa, amekuwa na uwezo mdogo linapokuja suala la mashambulizi ya kushtukiza, wao wakishtukizwa au wanapotaka kushtukiza.

Hii inatokana na kutokuwa na speed ya kutosha na inampa wakati mgumu sana pale washambuliaji wenye kasi kubwa wakiwa wanakimbilia upande wake.

Wataalamu wanasemaje?Kocha wa zamani wa Uingereza Sam Allardayce anaamini anamuona Maguire akiwa mkubwa sana ndani ya United lakinu hili litatokana na kocha anayekwenda kuwa naye.

Sam amesisitiza kwamba ukienda United hupaswi kuwa lele mama na sio kwamba ukiwa bora katika klabu kama Leicester City baasi inamaanisha utakuwa bora United.

Pia Sam ameonya kuhusu aina ya kocha ambaye Maguire anakwenda kukutana naye, hajaweka wazi kuhusu Mourinho lakini amesisitiza kocha anaweza kumpoteza ama kumkuza.

Maguire hatakuwa beki wa kwanza kuonekana bora akiwa nje ya United na akakwama chini ya Mourinho kwani beki wa Sweden Victor Lindelof amekuwa aking’ara sana akiwa Sweden na wakati akiwa Benfica lakini akakwama akiwa na Jose Mourinho.

Dalley Blind naye alikuwa nyota akiwa Uholanzi akiwa na Ajax pia na baadaye kidoogo akaanza kuwa muhimu United ila Mourinho alipochukua timu akanza kupotea na sasa amerudi kwao.
 
nimeona tetesi zinazomuhusu marcos rojo kuhamia wolverhampton kwa pound million 26.
ni habari ya kushangaza sana kuona timu iliopanda daraja ina uwezo wa kufanya usajili wa gharama kubwa sana.
kama macos rojo ataondoka ndio kutakuwepo uwezekano wa kusajili mlinzi mwengine wa kati.
ni kweli usipoingika ya kwamba Uingereza ndio nchi pekee ambayo wanaufanyia kazi msemo wa mpira ni biashara.
Richarlison-de-Andrade.jpg

  • upande wa pili unakuta everton wapo tayari kulipa pound millioni 26 kwa yeri mina wa barcelona.
  • everton wamelipa pound million 50 kwa richarlison kutoka watford.
 
Yaani richarlson ana worth £50m?? ...huu ni zaidi ya ukichaa
 
Tatizo la wachezaji wa sasa wengi wanashindwa kujielewa
Ninavyifikili kama kocha atatoa uhuru wa mtu kucheza atakavyo kwa kiwango chake bila kuweka masharti magumu na kuwapanga wachezaji namba sahihi na kuwasikiliza wanachotaka, kuwapa anachotaka timu inaweza kufanya vizuri na kuwafurahisha washabiki. Mfano muone pogba ufaransa namba anayocheza, matic sebia. Pia kocha apunguze kubagua wachezaji na ajenge uzalendo ndani ya timu
 
Jana Patrice Evra kupitia Instagram alitoa Ujumbe mzito sana
Wachezaji Wa Manchester United ```Wapiganie badge na mashabiki watakuwa mifukoni mwao"""
inaonekana Wachezaji Wengi wa timu yetu hawaijui Manchester United wanajichezea wanavyojua wao sasa tatizo ni kocha au mfumo? huu msimu tata kwangu kwakweli
Hapo tatizo ni kocha
 
Unamuondoa Martial na Rojo,unawaacha smalling,jones....yani huyu mourinho sio mzima kichwani.
Hivi kweli unamuuza martial kisa Willian duuuh
 
Back
Top Bottom