Recent content by Deleted01

  1. D

    JamiiForums Tanzania Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! 👀

    😅Yes mrembo, Najua why umereply hii ya kwanza. I love you ❤️
  2. D

    JamiiForums Tanzania Crush wako Jukwaani: Si Lazima wa Kimapenzi! 👀

    The one and only ❤️ binti kiziwi
  3. D

    JamiiForums Tanzania KERO Wanafunzi wa City College Mwanza tuna mwaka tangu tulipolipa bima ya afya, hatujapewa kadi

    kadi za nini na nyie? Nida namba inatosha
  4. D

    JamiiForums Tanzania kwanini the most dirty minded people huwa na sura zisizo na hatia

    leo dada tusaidie majibu tafadhali
  5. D

    JamiiForums Tanzania Watanzania tukikubali maridhiano na CCM tutakuwa watu wa ajabu sana. Damu ya Polepole itatulilia hadi kaburini

    Huyo mwenyewe akuwa msafi kiasi cha damu yake kutulilia sisi.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Ni lini JWTZ watatoa majina ya kuitwa kwenye usaili?

    salama kabisa, umeadimika, what were you up to?
  7. D

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa kumkosoa IGP kuhusu vikundi vya Mwaipopo wampeleka Polisi mwalimu Laulent Joseph (Mnegro)

    ila tuwe wawazi tu, wewe binafsi huoni kama hio messae ina makosa mengi tu ya kufanya mtu akamatwe? kutoa accusation bila ushahidi ni sababu tosha ya mtu kukamatwa bila hata kutafuta makosa mengine
  8. D

    JamiiForums Tanzania John Heche: Wanaonitumia fedha, wazitume kwenye akaunti ya CHADEMA

    kwahyo watu 30,000 tukichanga 10,000/= tunafikisha kabisa 300,000,000/=. Wazalendo tusaidie chama jamani.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Miaka michache ijayo wadogo na watoto wetu wataoa makahaba wastaafu

    ukimchunguza sana bata hauwezi kumla.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Maisha ya Kifahari Kwenye Magari ya Umma, Huku Familia Ikisugua Benchi

    Tanzania ndo nchi pekee ambapo mtu akiwa mnyenyekevu na aka focus na mambo yake watu wanamshambulia. We are coming from humble backgrounds, tuacheni tu tuwe machawa. Bila hizi ajira hakuna kitu kibaya na cha kuzalilisha tusingepitia, kuzalilika kwa kuwa machawa is the least of our problems.
  11. D

    JamiiForums Tanzania Masela wa JF tunakazi kwel!

    Humu kama social media nyingine yeyote catfish wapo na watu genuine wapo, kazi kwako kwenye machaguzi. Binafsi JF imenipa mwanamke mzuri and very smart and i wasnt even searching for love when i signed up ila naweza tu kusema machaguzi or kama watasha wanavyosema tuliweza kuzungumza lugha moja...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Hivi maisha bila kuvaa nguo ingekuwaje?

    yule ni special case ila i am supporting everything she does
  13. D

    JamiiForums Tanzania Hivi maisha bila kuvaa nguo ingekuwaje?

    mwanamke wangu hapendi kuvaa nguo, angekuwa ana enjoy sana, hhaha
  14. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Maridhiano si udhaifu

    Zitto ndio maana kwenye safari zetu tunamtenga. Hakuna chama humo
Back
Top Bottom