Rais Samia: Maridhiano si udhaifu

Rais Samia: Maridhiano si udhaifu

Rais Samia Suluhu amesema maridhiano ni ishara ya ukomavu wa kisiasa unaojenga umoja na kuheshimiana, akisisitiza kuwa siasa zinapaswa kuongozwa na hekima, utu na maslahi ya taifa badala ya mivutano isiyoisha.

Amesema wananchi wanahitaji amani, usalama na utulivu, akizungumza Julai 9, 2026, wakati wa kushuhudia Tamko la Pamoja la Maridhiano ya Kisiasa kati ya CCM na ACT-Wazalendo katika Viwanja vya Ikulu, Zanzibar.

Maridhiano ni Nini?
Maridhiano juu ya Nini?
Maridhiano baina ya nani na nani?
Waliouwawa 29 Oct matiti zao ziko wapi?
Alietoa amri ya watu kuuwawa ni nani?
Alietoa ruhusu risasi za moto kutumia ni nani?

#hatusahau29oct
#backbenchers
 
Usichanganye mambo,mambo ya wazanzibari wewe huyajui,mara baada ya uchaguzi act wazalendo walisusia kuushiriki kwenye serikali ya umoja wa kitaifa kwa mujibu wa katiba yao.Baada ya hapo iliundwa kamati ya kutafuta maridhiano baina ya ccm na act wazalendo,kamati hiyo imefanya majadiliano kwa zaidi ya miezi 5 na sasa wamekubaliano ndio wametoka hadharani kutiliana saini maridhiano hayo.
Nayaelewa sana ila nazungumzia kwa ujumla wake kwani hata huku bara kila siku wanataka maridhia ilhali kabla ya uchaguzi tuliwaambia turidhiane kwanza kabla ya uchaguzi wakakataa, hata leo hapo kwenye hadhara ya kusaini hayo maridhiano walikuwepo Watanganyika wengi tu kuliko hata hata Wazanzibari wenyewe.
 
Unaongelea maridhiano ya kinafiki, kitapeli, na kigeugeu! Nani mwenye akili atayakubali!
 
Nonsense. Unaua watu harafu unatafuta maridhiano.
Unajua kabisa umeingia madarakani bila ridhaa ya wananchi. Je huo ndio uungwana na ustaharabu. Pumbavu
Wapumbavu ni nyinyi ambao badala ya kwenda kupuga kura mliingia mitaani kuvuruga uchaguzi, kuchoma miundombinu ya Serikali na kuiba mali za watu
 
Zitto ndio maana kwenye safari zetu tunamtenga. Hakuna chama humo
 
Hebu nikae mbali na haya mambo maana kifua kinajaa sumu tu.
Shubamit
 
Sasa si walisema chauma ndo chama kikuu cha upinzani? Si wakaridhiane nao. By the way ibilisi na malaika zakemahali Pao hapakuonekana tenaaa.
 
Rais Samia Suluhu amesema maridhiano ni ishara ya ukomavu wa kisiasa unaojenga umoja na kuheshimiana, akisisitiza kuwa siasa zinapaswa kuongozwa na hekima, utu na maslahi ya taifa badala ya mivutano isiyoisha.

Amesema wananchi wanahitaji amani, usalama na utulivu, akizungumza Julai 9, 2026, wakati wa kushuhudia Tamko la Pamoja la Maridhiano ya Kisiasa kati ya CCM na ACT-Wazalendo katika Viwanja vya Ikulu, Zanzibar.

Yupo sahihi sana Mama yetu ila haya maneno angeyasema kabla ya uchaguzi yangekuwa na maana sana.
 
Jezebel bhana, why alikataa kabla ya genocide?
 
Rais Samia Suluhu amesema maridhiano ni ishara ya ukomavu wa kisiasa unaojenga umoja na kuheshimiana, akisisitiza kuwa siasa zinapaswa kuongozwa na hekima, utu na maslahi ya taifa badala ya mivutano isiyoisha.

Amesema wananchi wanahitaji amani, usalama na utulivu, akizungumza Julai 9, 2026, wakati wa kushuhudia Tamko la Pamoja la Maridhiano ya Kisiasa kati ya CCM na ACT-Wazalendo katika Viwanja vya Ikulu, Zanzibar.

Anaongea hayo kutegemeana na tukio ..... Kesho utasikia anaongea kivingine kabisa.

Kama hayo ni kweli yanatoka moyoni mbona mpaka sasa bado anasuasua kuja na plan ya Muafaka Tanzania nzima.
 
Rais Samia Suluhu amesema maridhiano ni ishara ya ukomavu wa kisiasa unaojenga umoja na kuheshimiana, akisisitiza kuwa siasa zinapaswa kuongozwa na hekima, utu na maslahi ya taifa badala ya mivutano isiyoisha.

Amesema wananchi wanahitaji amani, usalama na utulivu, akizungumza Julai 9, 2026, wakati wa kushuhudia Tamko la Pamoja la Maridhiano ya Kisiasa kati ya CCM na ACT-Wazalendo katika Viwanja vya Ikulu, Zanzibar.

Bado kuna mtu anamsikiliza huyu mama!
 
Watanzania wengi bado wana maswali ambayo hayajajibiwa.

Maridhiano yanajengwa vipi wakati bado kuna malalamiko kuhusu haki za kisiasa, uhuru wa vyama vya siasa, utawala wa sheria na uaminifu wa mifumo ya uchaguzi? Je, maridhiano yanamaanisha kushughulikia chanzo cha migogoro, au ni makubaliano ya viongozi pekee yao?

Kauli nzuri peke yake hazitoshi.

Wananchi wanahitaji kuona hatua zinazoendana na maneno. Imani ya umma haijengwi kwa matamko, bali kwa vitendo vinavyoonyesha haki, uwajibikaji na usawa mbele ya sheria

Kama maridhiano ni ya kweli, basi yanapaswa kujibu maswali magumu ambayo Watanzania wamekuwa wakiuliza kwa muda mrefu. Bila kufanya hivyo, ni kawaida kwa baadhi ya wananchi kuhoji kama mchakato huo unalenga kutatua matatizo ya msingi au kuonyesha tu picha ya umoja.

Maridhiano ya kudumu hayawezi kujengwa kwa shinikizo au kwa kupuuza malalamiko yaliyopo. Yanahitaji ukweli, haki, uwajibikaji na utashi wa kisiasa wa kusikiliza pande zote kwa usawa
 
Walengwa ni CHADEMA..msikubali mkaji koki..
Nikikumbuka namna Rasimu ya Warioba ilivyokwamishwa kwenye Bunge Maalumu la Katiba mpaka ikazaliwa UKAWA!!CCM siyo watu kucheka nao kabisaa.
 
Dini ni utapeli mkubwa uliowahi kutokea kwa binadamu.
dini ndo chanzo cha haya yote kiongozi. Kama sio utapeli kwanini wasiingilie kati ili huyo wanayemuabudu asaidie nchi
 
Back
Top Bottom