binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 16,018
- 44,348
Wewe hapo!
Na unajua 🤣
Wewe hapo!
❤️❤️❤️ Always!My crush is binti kiziwi
I crushed her so many times, she is the one whom I love😍
Mdogo wangu mzuri, I am not even crushing… i’m loving you 🥰🥰My crush 😍
Boys 👇
Marcostilone nimempa jina The Thinker 🧠
Mshana Jr my Dad ❤️
Tlaatlaah Gentleman 🐒
huyu wale wa siasa nisameheni tu
yeye anajua zadi😊
ERoni babu kikao hakikosi wazee🤪
Girls
👇
binti kiziwi 🧠
Binti wa zamani 🍑🍆
win-one enjoyment 😅
Nawapenda guys❤️
All love champ! ❤️❤️Itakuwa naongopea nisipo mtaja binti kiziwi Hakika nimekuwa nikmezea mate kwa muda sasa.
Hawa hasa napenda ego yake, ana ego nzuri sana inayojua kuwa imekosea yaani inakubali kukosolewa, sio hawa viumbe wengine wakaza mafuvu.
Kuna siku nitatoka pangoni na kuweka nia yangu
Umeniweka na great, great thinkers!Kwenye ujengaji wa hoja
Kiranga
Infropreneur
Scars
dosho12
binti kiziwi
Robert Heriel Mtibeli
Mshana Jr
Pascal Mayalla
LUMUMBA , kidogo tag yangu imeshindwa kumpandisha
Yeah sio kama sisi waropokaji tu😅Umeniweka na great, great thinkers!
I appreciate this so much sir.
Same energy, same energy! ❤️
I said same energy!Yeah sio kama sisi waropokaji tu😅
Namfahamu nina namba yake ila kwa wivu ulionikaba sikupi.Sina pakumpata hata.. last login 2023.. sijui ni mzima au vipi.. na mtu pekee ninayejua alikuwa anamjua & wana wasiliana ni Late Vale..
Hapohapo zamani ungetumia nafasi vizuriKurasa 45 sijatajwa hata mara moja! Zamani thread kama hii hapa nishatajwa mara 45! Kweli zama zimepita
Hakika mimi kumwanzishia uzi Binti wa zamani was a mistake it was disguised as you... You was the one I just hadn't trusted my guts😁All love champ! ❤️❤️
Nimecheka sana kwenye kutoka pangoni!
How was your week?
Ndio nani huyo?
Awww, asantee love and I'm looking forward to hearing your review after you're doneMdogo wangu mzuri, I am not even crushing… i’m loving you 🥰🥰
Now weekend uzi wangu huu nautafutia popcorn naanza comment ya kwanza hadi ya mwisho.
Faiza 😅😅Kuna yule mama wa kiislamu nadhani hayupo bongo kwenye hoja zake anapenda sana kusema "hivi huko shuleni mlienda kusomea ujinga"
Naona wewe na Joanah mmeamua kunipoza tu,basi tufanye acha niamini tu ili nijifariji.Wewe hapo!
Na unajua 🤣
Amini maneno yetu, wanawake si waongo kama nyie 🤣
No unaruhusiwa kutucrushia sote wawili 😅 Men are polygamous by necha ebo!Hakika mimi kumwanzishia uzi Binti wa zamani was a mistake it was disguised as you... You was the one I just hadn't trusted my guts😁
My week, soo boring ila God is great we still kicking it.
😅Yes mrembo, Najua why umereply hii ya kwanza.Ugomvi…..
Lakini unajua why nimereply hii ya kwanza? 😅❤️