Recent content by dee dee

  1. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Live Updates: Tanzania Vs Ivory Coast – World Cup Qualification 2014, June 16, 2013

    Naipenda nchi yangu naipenda taifa stars . Mungu ibariki Tanzania
  2. D

    JamiiForums Tanzania Acheni unafiki clouds na watangazaji wenu

    Aibu balaaaaa ubitozi wote na wanafistula aibu
  3. D

    JamiiForums Tanzania Naomba watanzania tumsaidie Ray C tumchangie

    Jaman tuseme huyu Ray C hana marafiki jaman wenye uwezo wa kchangia mpaka aombe watanzania, mtu aliekua maarufu namna ile jaman, wasanii wenzake alofanya nao kolabo, clouds fm mameneja na maproducer wa mhzik wake wote hao wameshinwa kumchangiatu wao, kuna watu wengine ambao hawana hata mtu...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Breakin News "wamegandana"

    Jamani wenye ndoa tuwapigie wenza wetu simu now kujua wako wapi, unaeza jifanya kucheka kumbe ni mumeo au mkeo ndio aliekumbwa ba masaibu ya kugandana
  5. D

    JamiiForums Tanzania Unachukia kitu gani katika mwili wako?

    Mi siipendi rangi ya uso wangu nyeusi kama kima na macho yangu mekundu ka mvuta bangi
  6. D

    JamiiForums Tanzania Karibu Ilembula.

    Be vahunhilage wanyalukolo
  7. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Malezi ya DADA WA KAZI.

    Mwambie bwana huwezi utaokoa maish ya huyo mtoto kunyweshwa uji naman kuna mtoto alikufa hivi hivi nakwambia. Tafadhal sana. Wambie hata ingekua ni mimi mama wa mtoto ningependa niambiwe
  8. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaweza kudhani unayajua mapenzi, kumbe ni kinyume chake... Jifunze kwa huyu...!

    Sasa na huyo dada nae huwa anamtawaza boyfriend wake au anataka atawazwe yeye tu?
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nitumie basi gani kutoka dar kwenda mbeya???

    Panda comfort
  10. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisaidieni jaman mke wangu ataniua

    Mkajaribu kupima pengine mkeo mjamzito nakumbuka mimi nlipokua mjamzito nlikua namsumbua mume wangu sana nataka "naniliu"
  11. D

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe 'streotypes' za zamani

    Ukinyooshea kaburi kidole kinabaki hivohivo, Ukikata kucha usiku utakua masikini, Ukiokota hela njia panda utapata masambatuta, Ukila ukiwanumelala mama yako atakufa, Ukikojoa barabarani lazima utemee mate mikojo
  12. D

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Bhoke, Mtanzania aliyefanya ngono huku Afrika nzima ikimshuhudia?

    Yupo kihodombi Iringa anagema ulansi
  13. D

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu, bora usingejichubua

    Kuna na yule Sauda Mwilima mtangazaj wa Star TV amejichubua kachukiza kabisa. Who do they try to kid kwamba wao ni weupe kama waarabu, mbona weupe wa asil na wakujichubua unafahamika kabisa. Ukijichubua unaonekana soo mshamba
Back
Top Bottom