Live Updates: Tanzania Vs Ivory Coast – World Cup Qualification 2014, June 16, 2013

Live Updates: Tanzania Vs Ivory Coast – World Cup Qualification 2014, June 16, 2013

tuko msibani bana hili litimu lifungwe tu kwanza hakuna kinachoendea kila siku kucheza mpira wa mdomoni bila vitendo.. Nataka leo taifa mwezi wapige 5 bila hakuna haja ya kuwaita tena taifa star hawalingani kabisa na jina lenyewe
 
Mkuu pole sana kwa msiba.
 
Taifa stars funga hao kinana twende zetu brazil
 
Kitu pekee kinacho baki kutuunganisha wa watanzania sasa ni soka...siasa zimeshindwa ..dini moto mkali..makabila ndo kabisa..
Team Taifa Starz you will never walk alone

Ndugu
 
Naiona Taifa stars ikishinda 2 kwa 1 dhidi ya Ivory coast,Mungu ibariki Taifa stars,Mungu ibariki Tanzania, AMIN
 
Dah!!.sijui itakuwaje maana kila nikimfiria Yaya Toure, Gervinho....kichwa kinauma sana....
 
Na milaana ya kutupa mabomu kuua watu wasio na hatia tufungwe tu!! Hata mpirani siendi!
 
Back
Top Bottom