Breakin News "wamegandana"

Breakin News "wamegandana"

jamani wana JF wote mpo ? isije akawa mmoja wetu ameganda ....

Kama vile haitoshi, mashuhuda wanaripoti huo mgandano wenyewe kidume hajagandia kifuani kama ilivyo ada! Inasemwa kagandia mgongoni !
Saaalaale! Kama hivyo ndivyo ndo kusema kidume kilikua kinamanga Baaz - Mobitel !
 
hii ndo dawa ya kubanjua amri ya SITA, hapo hopsitali watachemsha, dawa ni kutafuta mtaalamu wa kuwa bandua, aibu iliyoje lol!!!
 
Madame B upo? Eb watajie jina la hiyo dawa halafu unishauri kama nikiileta sokoni humu jf itapata wateja.
 
Last edited by a moderator:
Kama vile haitoshi, mashuhuda wanaripoti huo mgandano wenyewe kidume hajagandia kifuani kama ilivyo ada! Inasemwa kagandia mgongoni !
Saaalaale! Kama hivyo ndivyo ndo kusema kidume kilikua kinamanga Baaz - Mobitel !

Daaah, amenasa kwenye utumbo ??
 
mbona EATV waki zungumza na mtu aliepande hizo..amesema Mwanaume kaaga Dunia na amehifadhiwa Muhimbili...
 
Jamani wenye ndoa tuwapigie wenza wetu simu now kujua wako wapi, unaeza jifanya kucheka kumbe ni mumeo au mkeo ndio aliekumbwa ba masaibu ya kugandana
 
Mbona Kova wa Temeke amekanusha hii habari amesema ni uzushi! Sasa tumuamini nani?
 
Yani yastahili yawakute dhambi tupu. Dah wamefanya siri imekuwa dhahiri
 
Naomba Asprin , zomba , Erickb52 , Arushaone na C6 mthibitishe uwepo wenu humu isije ikawa ni mmoja wenu yupo huko, nawapenda sana sitaki kuwapoteza aisee

Baba V umekuaje?
Hapa mbona umewa'mention watu wa dini watupu ?
Vyanzo vinasema eti hawa jamaa ni waadifu .
Kuna wengine ni wako kwenye mabaraza ya walei kwenye parokia zao, na wengine maustaadhi !
Watake razi fasta bwanaa!
 
Last edited by a moderator:
Naomba Asprin , zomba , Erickb52 , Arushaone na C6 mthibitishe uwepo wenu humu isije ikawa ni mmoja wenu yupo huko, nawapenda sana sitaki kuwapoteza aisee

Nathibitisha uwepo wangu mkuu. Natamani hii makitu initokee nikiwa nananiliyu na Preta. Naona anaishangilia sana hii makitu.

Ila kiukweli hii makitu imenitisha sana. Inanilazimu kubadilika for good
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom