Nitumie basi gani kutoka dar kwenda mbeya???

georgei

Senior Member
Oct 14, 2009
110
8
Naomba mnisaidie basi gani saizi lipo kwenye "form" nisafirie kwenda mbeya,pia iambatane na gharama ya nauli yake.........ikiwezekana na "the cheapest" nilijue

nawasilisha!!
 
Naomba mnisaidie basi gani saizi lipo kwenye "form" nisafirie kwenda mbeya,pia iambatane na gharama ya nauli yake.........ikiwezekana na "the cheapest" nilijue

nawasilisha!!
But watch out....sometimes cheapest things are most expensive at the end....
 
Mkuu ungefika ubungo jioni wakati mabasi hayo yanawasili utapata jibu lako.humu utaambiwa Upande KWACHA ama ZAINABS na KISWELE
 
Kamata hilo basi uliloambiwa na mdau hapo juu, Ndenjela, ni jipya, comfortable na mwendo wa heshima sana, la mjasiriamali wa Kisafwa. Tupende Uzalendo.
 
Nina private car kilasiku naenda mbeya asubuhi saa 12 nauli ni tsh.75,000. Unahuo uwezo au ndo umetoka chuo?. Ila pia dreva wangu wa lori la mizigo nimemruhusu kuchukua abiria mmoja kwa tsh. 20,000 so nitafute km uko serious.
 
Nisome mimi,choose btn ndenjela,greenstar and sai baba but if you want the cheapest,kwea Majinjah special ila uwe na nauli ya akiba.
 
Kamata hilo basi uliloambiwa na mdau hapo juu, Ndenjela, ni jipya, comfortable na mwendo wa heshima sana, la mjasiriamali wa Kisafwa. Tupende Uzalendo.
mkuu wewe ni ndugu yangu eeeh ITAKUWA NAKUFAHAMU SANA TUUU KHAAAA!
 
Back
Top Bottom