Recent content by dee a jay

  1. dee a jay

    Wasanii wangu bora wa reggae hawa hapa

    Chriss Martin Queen ifrica Romain virgo Tarus relay Bob Marley Sent using Jamii Forums mobile app
  2. dee a jay

    Msaada: Namna ya kufika Kunduchi beach KKKT, natokea Tabata

    Akishuka kituo cha kona unaendaita hamsini tuu upande wa mashariki(kama unaenda baharini) ataliona kanisa upande wa kulia.
  3. dee a jay

    Tulokutana na visa humu JF vilivyotufanya tutaman kubadili majina yetu tukutane hapa,naanza mimi kuelezea yalonikuta

    Hua nataman kubadili hili jina la kitoto na nashishindwa kwani sasa nishakua mhenga
  4. dee a jay

    Kutoka Hosp Nilikolazwa: Kuna wanawake tunaweza date/oa kumbe wachawi/walozi

    Aisee sio mchawi ila ni kiongozi wa walozi kabisa
  5. dee a jay

    Namibia: Mfanyakazi wa ndani anaswa akimtupa mtoto kwenye tenga la takataka

    Daa kiukweli wakuu hapo unaweza ukaua kama clip hio ikawa kwako na mtu huyo ukawa unaishi nae.
  6. dee a jay

    Naomba muipe maksi hii nyimbo

    Kwanza flow IPO vizuri kwa mchanaji lakini mistari haina ujumbe mujarabu, Pili hongera kwa MTU was chorus kwan ana sauti take ina upekee Fulani hivi na mbunifu kidogo katika kuiongezea manjonjo sauti yake lakini ngoma nzima iko poa Na uiongeze kamuda kidogo maana no fupi mno Sent using Jamii...
  7. dee a jay

    Je wajua mazoezi ni kupoteza muda tu

    Naweza kukuvaliana na wewe mleta Mazda maana kuna MTU aliniambia nikipunguza uzinzi nitaishi miaka mingi
  8. dee a jay

    Mwanamke sio BAJAJI ni roli.

    Habari za jumapili wakuu zangu.Kuna huu wimbo wa navykenzo una sema mwanamke sio BAJAJI ukipanda ushuke usahau wala pikipiki. Mimi kwa mtizamo jinsi wanavyofanya Hawa jinsia jirani kujirahisisha na kupenda hela kiasi kwamba walizaliwa bank Hawa sio BAJAJI kweli ila ni maroli tena ya taka maana...
  9. dee a jay

    Hivi kwanini wanawake hung'ang'ania udogo?

    Mleta maada uliniona nn maana kuna Dada nilitaka kumuoa nimeshindwa anawatoto wanne halafu alinidanganya ana 24yrs kumbe ni kigagula miaka thelathini na anawatoto wanne nilivogundua nimekwambia kama napigwa vile yaani hahahaa
  10. dee a jay

    Valentine day ya upweke

    Mapenzi kwa baba watoto wako hayapo mpaka umeamua kushukuru alivoitwa na makonda daa mungu a nakuona.
  11. dee a jay

    Huu ndo uhusiano wa pesa na muda

    Daa mkuu maneno kuntu sana haya
  12. dee a jay

    Mume kufukuzwa kazi kumenifundisha kuchepuka, sasa nimekuwa sugu

    Dawa ya Moto ni moto nae amepata wa kutuliza nafsi yake
  13. dee a jay

    Nina Tatizo, BACK PAIN

    Hili tatizo ninalo mwaka wa sita sasa nimeharibu hela kibaoo nikitembea sana au nifanye mazoezi kesho siamki kabosa yawn. Poleni wagonjwa wenzangu
Back
Top Bottom