nazahati
Member
- Jan 8, 2017
- 81
- 32
Nashukuru MkuuAisee pole sana, Hilo tatizo lako mi
Pia ninalo linanisumbua mpaka dk hii nimepiga X-ray nimeambiwa pingili zimeachana so kuna msuguano ambao ndio unasababisha hayo maumivu nimetumia dawa za kumeza Na sindano lkn shida IPO vilevile nashindwa kuelewa nini shida almost TSH 350000/= zishanitoka mpaka dk hii. So haupo pekeyako maombi Na Sala ndio dawa ya mwisho kuna maumivu makali sana
Pole sana mkuu. Mungu mkubwa utapona.
Mimi nilikuwa na tatizo linalifanana na hilo lako. Nikaelekezwa kwa mpemba mmoja yuko maeneo ya chanika Kwambiki. Ni mtaalam wa mifupa kwa waliopata ajali na maumivu ya mgongo. Hasa pingiri kupinda au kuachia.
Kuna dawa anapaka na kuchua huku akirekebisha na kulainisha sehemu yenye shida.
Baada ya siku 7 ya zoezi hilo la kila siku asubuhi. Nimepata nafuu kubwa kabisa.
Ukitaka nitakupatia namba yake.
Mkuuu naomba ni PM namba yakePole sana mkuu. Mungu mkubwa utapona.
Mimi nilikuwa na tatizo linalifanana na hilo lako. Nikaelekezwa kwa mpemba mmoja yuko maeneo ya chanika Kwambiki. Ni mtaalam wa mifupa kwa waliopata ajali na maumivu ya mgongo. Hasa pingiri kupinda au kuachia.
Kuna dawa anapaka na kuchua huku akirekebisha na kulainisha sehemu yenye shida.
Baada ya siku 7 ya zoezi hilo la kila siku asubuhi. Nimepata nafuu kubwa kabisa.
Ukitaka nitakupatia namba yake.
Mkuu niPM namba yake
Ukiwa na Shida yoyote ileWana JF experts wote naommba msaada wenu nimeumwa back pain almost 4Years kila nkienda hospital napewa some pain killers na vidawa tyu bas then hali inarejea kama mwanzo yan mgongo unauma hasa kiuno it happens hata nkikaa kwenye kiti mda kidogo tuu nachoka mpaka nijinyooshe mara nyingi.
Asante kaka ,yan jamaa anataka namba Pm wakt wenye shida ni wengi,basi kama hivyo na hilo gonjwa angekuletea pm mmalizie pm,tubadilikeee0714252637