Wasanii wangu bora wa reggae hawa hapa

Bob Marley
Lucky Dube
Alpha Blond
Peter tosh
Burning Spear
Christopher Martin.
Culture.
Morgan hertage
Damian Marley
Romain Virgo
Marlon asher
Buju Banton
 
Bob Marley and the Wailors huwa sichoki kusikiliza
Tarrus Rilley
Morgan Heritage
Peter Tosh
Lucky Dube
Marlon Usher (Ganja planter)
Coco Tea
Alpha Blonde
Buju Banton
Culture
Gregory isaac
Maxi priest
Wapo wengi sana kwakweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuna vijana / watoto wengi tuu wa leo ukiwaambia kuwa 'Bunny Wailer' ndiye alikuwa mentor na trainer wa bob marley hawata kuelewa kabisa, so far huyu ndiye the trio's only surviving member & founder wa 'the wailers'- wale 'wachomeleaji3 walioleta mapinduzi makubwa kwenye mziki wa reggae (nadhani ma tafari ras wananielewa vizuri)
Na Ana undugu na Bob Marley maana baba ake alimzalisha Cedella Booker.....mama mzazi wa Bob Marley
 
Kuna Mzungu mmoja hivi kutoka Bermuda anaitwa "Collie Budz" nae ni balaa ana ngoma kali sanaa
 
Hawa ndio wasanii wangu bora wa Reggae

1.Bob Nesta Marley
2.Bush Man
3.Buju Banton
4.Luciano

Mafundi sana hawa kwa vocals na mashairi kuntu
Kuna Ngoma moja hivi ya BushMan inaitwa "Fire Burn Weak Heart" ni hatari mnooo bila kusahau "Bandits" ya Luciano
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom