Je wajua mazoezi ni kupoteza muda tu

fixit KEM

Member
Oct 26, 2014
89
63
Sungura, panya na Jamii zao huwa na mwendo wa kukimbia na kuruka muda wote na umri wao wa kuishi ni miaka 15. Kobe ni mnyama mwenda pole, asiye na papara wala pilika, muda mwingi hujificha na kupumzika ndani ya jumba lake akikwepa maadui. Umri wa kuishi kobe hufikia hadi miaka 300.

FUNZO: Mazoezi ni kiinimacho, uongo na kupoteza muda tu. Jipumzikie aisee
 
Back
Top Bottom