Bibi yupi
Huyo bibi anaejifanya mdogo
Bibi yupi
Huyo bibi anaejifanya mdogo
Hahahahahaahah
Nawashushusaga mbona

Kibobori habari savoUtanisory bebyto loooh nmekuandika kimachame
Mkuu... pm yangu umeiona...?
Maana minataka nimalize huu uzushi unaosambaa kwa mwendo kasi.....
Umegusa maradhi yangu aiseeeee......Ukubwa unapimwa kwa manyoyo kumbe

Kama hawezi bora anyamaze au aseme ukweli tuMleta maada uliniona nn maana kuna Dada nilitaka kumuoa nimeshindwa anawatoto wanne halafu alinidanganya ana 24yrs kumbe ni kigagula miaka thelathini na anawatoto wanne nilivogundua nimekwambia kama napigwa vile yaani hahahaa
Atakuwepo tu au anamalizia valentineshv miss chagga yupo kweli... nimemkumbuka vibaya!!!
Atarejea soon... Alipata msiba wa mdogo wakehv miss chagga yupo kweli... nimemkumbuka vibaya!!!
weee!!!! kweli... em ngoja nije pm tuyajenge kidogo!!!Atarejea soon... Alipata msiba wa mdogo wake
kwani mimi ni ,kubwa au mdogo?
Uje na hela lakiniweee!!!! kweli... em ngoja nije pm tuyajenge kidogo!!!
Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app