dee a jay
Member
- Jun 4, 2014
- 54
- 24
Habari za jumapili wakuu zangu.Kuna huu wimbo wa navykenzo una sema mwanamke sio BAJAJI ukipanda ushuke usahau wala pikipiki.
Mimi kwa mtizamo jinsi wanavyofanya Hawa jinsia jirani kujirahisisha na kupenda hela kiasi kwamba walizaliwa bank Hawa sio BAJAJI kweli ila ni maroli tena ya taka maana ikiwa na pesa hata unuke shombo ya beberu waoo hawajali na utapewa na sifa pia unanukia vizuri