Recent content by de-fighter

  1. de-fighter

    JamiiForums Tanzania Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Mkuu sijaelewa hapa
  2. de-fighter

    JamiiForums Tanzania Yanayofanyika viwandani Tanzania ni utumwa. Kazi ngumu, maslahi duni. Serikali haina mpango na wananchi wake, inachoangalia ni kodi tu

    Inabidi uchunguzi ufanyike vyakutosha na serikali ichukue hatua za kisheria, japokuwa Sheria wakati mwingine inaruuhusu pale ambapo mmiliki wa kiwanda ataomba asijumuishe kwenye employment standards na hapa ndipo tatizo lilipo kifungu Cha Sheria 100, "The Employment and Labour Relations Act...
  3. de-fighter

    JamiiForums Tanzania TANZIA Aliyekuwa mlinzi mkuu wa Rais Kikwete, Hamis Lukindo afariki Dunia

    IInna lillah wainna ilayh rajiun, Mwenyezimungu amjaalie kauli thabit
  4. de-fighter

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Dkt. Mhagama: Sheria za Uchaguzi zinazotungwa hazitazingatia maandamano yanayoendelea

    Sikuzote mabadiliko hayafanyiki siasa nyingi kuliko utekelezaj
  5. de-fighter

    JamiiForums Tanzania Hodii humu ndani

    Karibu sana dunia mpya
  6. de-fighter

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimechapiwa mke wangu na mzoa taka

    Huyo mzoa taka nenda kamchapie mama yake itapendeza sana
  7. de-fighter

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mirathi na Mwanamke baada ya kifo cha mumewe

    Good wakil msomi
  8. de-fighter

    JamiiForums Tanzania January Makamba anaweza kuwa Rais

    Hahahahah [emoji23][emoji23][emoji2960][emoji119]
  9. de-fighter

    JamiiForums Tanzania January Makamba anaweza kuwa Rais

    [emoji52][emoji52]
  10. de-fighter

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi hampaki makalio yenu mafuta

    Hiyo siyo Kwaajili ya kujiremba sasa, kwa mwanaume kujipaka mafuta kwenye makalio yake haipendezi kabisa
  11. de-fighter

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume tukinyoa mustache (sharubu) sura inabadilika unakuwa mbaya

    Kwa upande wangu naona ni usafi kutoa ndevu kwani hiwa inaleta Sana kwa baadhi ya watu
  12. de-fighter

    JamiiForums Tanzania Usiku wa mabingwa wa ndondi: Wabongo wawachakaza vikali Wamalawi

    Yani watanzania tunazingua haiwezekan mtu kapigwa roundi zote halafu yeye anaibuka kuwa bingwa. Kwa halii hii hatuwezi kufika mbali "Mfaume"
  13. de-fighter

    JamiiForums Tanzania Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

    Habari zenu wasomi, kwanza kabisa ninayofuraha kukutana na wanasheria wenzanngu katika hii forum, naendelea kujifunza mengi sana, pia shukran sana kwa wote wanaotuma matirio kwenye hii forum. Kingine naomba mni add kwenye groups Kama za Whatsapp, n.k no 0658166176
Back
Top Bottom