Legal documents na uchambuzi wa masuala ya kisheria hapa

Habari zenu wasomi, kwanza kabisa ninayofuraha kukutana na wanasheria wenzanngu katika hii forum, naendelea kujifunza mengi sana, pia shukran sana kwa wote wanaotuma matirio kwenye hii forum.
Kingine naomba mni add kwenye groups Kama za Whatsapp, n.k no 0658166176
1122855484.jpg
 
Yeah hiyo ipo, nadhani labda njia ya personal followup za Court of Appeal staffs yaweza ni saidia kuipata kama hili file hali kuwa na sarakasi za politics deep down.
 
Mkuu naomba unixaidie kesi ya trust bank Vs le marsh case no 4 of 2000 high court commercial division kma utakua nayo
 
Taratibu fupi na rahisi na kimripoti kwa mwajiri wake, ambaye ni mkurugenzi wa wilaya.
Pia waweza mshtaki kwa mwajiri mkuu - Katibu mkuu Utumishi.
Ukiwa wewe ni mwanasheria ni vizuri ukapeleka malalamiko kwa hakimu au jaji wa kesi husika, au kwa msajili wa mahakama ambako ndiko atashughulikiwa kitaaluma.
Naomba unitumie documents za civil na vitabu vyote hasa vya chipeta email yangu mickylevau@gmail.com
 
Kuna group la telegram la materials lipo kule uzuri telegram vitu havifutiki.. Pia ukihitaji document unasema sio kutokuwepo kwa mkuu Dragoon na docoument zisiwepo kila mwanasheria naamin anazo kwa hiyo tutasaidiana tuu...

Ata kwa link za kupata hizo document pia

Mkuu Retired ametoa link ya tanzlii hiyo ni official website tunapoenda huko mbelen law reports nazani zitamezwa na Tanzlii zote.. Tuitumie ni nzuri

Link ya telegram nikipata nitaleta maana group lipo active sanaa


Aluta continua
 
Back
Top Bottom