January Makamba anaweza kuwa Rais

January Makamba anaweza kuwa Rais

Kwa upepo unavyoenda, kuna kila dalili za Mhe. January Makamba kuwa Rais wa TZ miaka michache ya mbeleni, sifa anazo, ana uelewa mpana wa mambo mengi, yupo smart kiakili na kimwili na ana uchungu na maendeleo ya nchi hii.

Naona kabisa TZ tukisema Mhe. Rais Makamba.! Note that:
hii nchi lolote la kijinga linawezekana
 
Amerudishwa ili aharibu, huwajui CCM wewe.. Hapo kawekwa wizara ya mitego na dili awe mchafu zaidi, nchi hii usalama wapo na wanajua jinsi ya kuwafanya vimbelembele type zenu..

Akiwa Rais basi aongoze pwani peke yake!

Sent from my G3121 using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo mtu akiwa Rais wa Tanzania anaongozi Pwani peke yake?
 
Kwa upepo unavyoenda, kuna kila dalili za Mhe. January Makamba kuwa Rais wa TZ miaka michache ya mbeleni, sifa anazo, ana uelewa mpana wa mambo mengi, yupo smart kiakili na kimwili na ana uchungu na maendeleo ya nchi hii.

Naona kabisa TZ tukisema Mhe. Rais Makamba.! Note that:
Kwanza apimwe kwenye umeme maana kwasasa unakatikakatika tu majibu yake ni mepesi sana
 
Kwa upepo unavyoenda, kuna kila dalili za Mhe. January Makamba kuwa Rais wa TZ miaka michache ya mbeleni, sifa anazo, ana uelewa mpana wa mambo mengi, yupo smart kiakili na kimwili na ana uchungu na maendeleo ya nchi hii.

Naona kabisa TZ tukisema Mhe. Rais Makamba.! Note that:
Dah...jamani na familia nyingine zipewe nafasi....Kila siku haohao tu 🤣🤣🤣🤭
 
Sikubezi!wamempa wizara hii ili kufungua mlango wa upigaji kama ule wa IPTL na kufurahisha mafisadi na kampuni za nje kuja kuwekeza Tz!Hao watamuunga mkono akitia nia yake!!!!KATIKA NCHI AMBAYO MWENYE CHETI MIREMBE ANAKUWA RAISI! WHY YOU WRITE HIM OFF????
 
Kwa upepo unavyoenda, kuna kila dalili za Mhe. January Makamba kuwa Rais wa TZ miaka michache ya mbeleni, sifa anazo, ana uelewa mpana wa mambo mengi, yupo smart kiakili na kimwili na ana uchungu na maendeleo ya nchi hii.

Naona kabisa TZ tukisema Mhe. Rais Makamba.! Note that:
Tumeisha huyu akiwa Rais.
 
Asante kwa kututukana mkuu!!
 
Kwa upepo unavyoenda, kuna kila dalili za Mhe. January Makamba kuwa Rais wa TZ miaka michache ya mbeleni, sifa anazo, ana uelewa mpana wa mambo mengi, yupo smart kiakili na kimwili na ana uchungu na maendeleo ya nchi hii.

Naona kabisa TZ tukisema Mhe. Rais Makamba.! Note that:
Labda raisi wa watu wenye vipara na mabichwa shape ya embe
 
Kwa upepo unavyoenda, kuna kila dalili za Mhe. January Makamba kuwa Rais wa TZ miaka michache ya mbeleni, sifa anazo, ana uelewa mpana wa mambo mengi, yupo smart kiakili na kimwili na ana uchungu na maendeleo ya nchi hii.

Naona kabisa TZ tukisema Mhe. Rais Makamba.! Note that:
Naunga mkono hoja, jamaa yuko njema sana......haya matusi na jitihada za mitandaoni za kumchafua ni za wenye wivu na waliokata tamaa ya kumfikia. Kuna makubwa banana mbele ya huyu jamaa
 
Back
Top Bottom