Nauchukia mziki wa bongo, nachukia media nyingi za bongo. Maswali mengi yatajijenga vichwani mwenu, kujiuliza kwanini nimeamua kuandika waraka huu kwenu; Mapresenter njaa. Labda nianze na hadithi fupi. Nilipoanza mziki mwaka 2009, sikuwa na wazo la kufanya mziki ili uwe kama biashara kwangu...