ummu kulthum
JF-Expert Member
- Feb 6, 2012
- 2,784
- 1,317
Utaishia kumiss tu
jamani ni kweli hatujaonana kitambo
Utaishia kumiss tu
jamani ni kweli hatujaonana kitambo
Naku.............................. Manoah. lakini naogopa kukwambia coz cjui utachukuliaje
then namuogopa mama yako ticha mkali
pili kakulea kwa maadili yote cjui kama ntaweza fanikiwa,
Any Agent pls, deal anounced already
usiogope wewe sema tu, ujue mama yangu ananipenda sana....kama anavyokupenda wewe
Ongea na kaka mtu kwanza bibie, mpe fursa athibitishe kama unafaa katika kila hali kuwa mke wa mdogo wake!
Haya mambo hata @ Baba V anayakubali katika kamati yake
Umenena vyema kama mmoja wa hao wenye hekima. Sasa mwambie huyo Suprise aje huku kwa kaka kwanza!
we unawajua watu wazuri!? Mzuri mimi bana! Uliza uambiwe!
hii Post muda uliokuwa unaiandika bora ungekuwa na mumeo/mpenzi una mshika shika mashavu Mx
Suprise usiangaike kutafuta agent, hao ni matapeli
Manoah unajichanganya na hii ni nini? I Love My Dog
hii Post muda uliokuwa unaiandika bora ungekuwa na mumeo/mpenzi una mshika shika mashavu Mx