Jinsi ya kukabiliana na moderators uchwara

Jinsi ya kukabiliana na moderators uchwara

unasikia binti? ukisikia fake moderator ujue ni mimi. juzi nmempiga ban Paw. tuma vocha kabla sijakushughulikia na wewe. mia

lol. Hivi Mod anaweza kupigwa ban?

Yaani kama inawezekana I will be dying for it.

Maana kila niki-logn nahisi sauti ya Paw ikisema "there you're, watch your back" huku akiwa ame-point cursor yake yenye ncha kali on my back.

Nikianza ku-type, nahisi kama yuko nyuma yangu reading every letter I type and that if I'm not careful lazima ataniban na cursor yenye ncha kali.

Halafu nyie Mods hamuendi hata vekesheni? You're too workaholic! Nasikia kuna mmoja kati ya Invisible, Paw, Ab-Titchaz, Moderator, Roulette, Buchanan, Silencer, PainKiller, Fang, Cookie, Pruner, INNOVATOR, vekesheni yake anaenda ChitChat. So bad indeed.

Halafu akifika huku hana tofauti na Kifimbo Cheza. Haya yalimkuta Mwana-ChitChat mmoja (ID kapuni) hivi karibu. Mwanzoni tulidhani Mod feki ndiye aliyefanya haya kumbe yalifanywa na Mod wa ukweli tena akiwa vekesheni ChitChat.

419220_248154268612045_209345385826267_499202_1505109450_n.jpg
 
Back
Top Bottom