Jamani nipokeeni wana JF CC wa Dar!!

Jamani nipokeeni wana JF CC wa Dar!!

Pale panahusu kwenye white party. Kumshukuru Mungu kama tutaingia mwaka 2013 na bia zetu bila madeni.

Stay tuned!

Haya babu,wajukuu vipi? Au ndo wanajipodoa wasepe...
 
pole kwa safari natumai ushafika mkuu. Vipi gamba lako halijachoka sana?
 
pole kwa safari natumai ushafika mkuu. Vipi gamba lako halijachoka sana?

Nitty ndo tunaitafuta Mkuranga sasa... Ile sheli kubwa naiona sasa.. Tuko Mkuranga sasa..
Aaah.. mi ni Gee Cee bana..
 
Nimechoka sana.. Ntahitaji kukandwa pia tafadhalini..
 
Ni baada ya miezi mitatu hivi, natokea Mtwara.
Ndiyo tumemaliza kipande kichafu cha tope.. Somanga-Muhoro..
Najipigia hesabu kama naweza kujituliza Leo Tupo Hapa Pub,au vipi...
By Gee Cee

Gee Cee ukifika mpe hi sana mamaa cacico...
 
Last edited by a moderator:
Karibu njoo hapa mlimani city nimekuchukulia room annexlodge chumba namba namba 2 nimeshakulipia ya wiki nzima ulizia boking kwa jina la amu.
Kwani huku unakaa mda gani???
Ningekufata ulipo tatizo ni kuna kimvua na mie usafiri wangu bajaj.
So we njoo tu moja kwa moja
 
Mi nakuangalia tu.......!
 
Hiyo mvua inanyesha wapi wewe? Mbona mnakua waongo hadi dhambi?
Karibu Dar gambachovu
 
Last edited by a moderator:
Hiyo mvua inanyesha wapi wewe? Mbona mnakua waongo hadi dhambi?
Karibu Dar gambachovu

wewe wa kuja kweli hujui mvua za dar au???mfano manzese inanyesha sinza au uubungo ukipita umelowa wanakushangaa....
Kha ulikuja dar na bus gani wewe?
Hapa nlipo mvua ndo imekatika
 
Last edited by a moderator:
Na haitakuwa giza? Maana mifoleni ya bongo bana... Mara mabasi yaendayo kasi, mara yaendayo haraka,ah mkuu.. Au nitue mizigo yangu Zakhem palee?

magari ya huko yanaishia tandika. ukishindwa kushuka zakhem ntakusubiria pale sudan. mia
 
Back
Top Bottom