Uliyonifanyia yalinifanya niwe mdogo kama piriton

Uliyonifanyia yalinifanya niwe mdogo kama piriton

kwa hiyo jamaa Ukajua utafika Zenji na Utakula vitu vitamu hahahahaah Mx
 
kwa hiyo jamaa Ukajua utafika Zenji na Utakula vitu vitamu hahahahaah Mx

nlikua nmejiandaa kimwili kiafya na kiroho. meli nzima nlikua sipati picha ya huyo mrembo. mwenzangu!. mia
 
Last edited by a moderator:
Dah!Amekuzingua sana ishiiiiii ndo Maisha hawa ma chick wa Jf pasua Kichwa sana Mx

wanazingua sana. sema sasa hivi mademu wazushi walio wengi washabadili id, sasa hivi wanatumia id mpya. sema uzuri kama ulikikosa kwa id ya zamani waweza mpata kwa id yake mpya coz huwa wanakuja kilokole. mia
 
hiyo kawaida mbona kuna wenzio zaidi ya 100 wanafanyiwa hivyo wengine wanachomeshwa maindi,hiyo kitu kawaida sanaaa:rofl:
 
Mia tulia tu usijali bana..................
nlishatulia. baadae nlikuja kukuta ni mtu wa kawaida sana. halafu anajifanya mkali mkali eti anataka kunikataza nisiwe naingia jf. hata nikiingia isiwe mmu. nikaona masharti siyaweza ikabidi nmchezee tu. sasa hivi namtaka mtu aliye tulia sana. kuna watu nataka nichaguwe mmoja wao awe mke wangu. lakini nlie mdhamilia sanasana ni christine ibrahim. mia
 
Last edited by a moderator:
nlishatulia. baadae
nlikuja kukuta ni mtu wa kawaida sana. halafu anajifanya mkali mkali eti
anataka kunikataza nisiwe naingia jf. hata nikiingia isiwe mmu. nikaona
masharti siyaweza ikabidi nmchezee tu. sasa hivi namtaka mtu aliye
tulia sana. kuna watu nataka nichaguwe mmoja wao awe mke wangu. lakini
nlie mdhamilia sanasana ni christine ibrahim.
mia

bro kumbe umekula mzigo,but uzur siyo kgezo cha kuoa!
 
Last edited by a moderator:
Kwa hasira ingebidi huko huko zenji utafute kaka poa mmoja utafune usiku kucha mpaka hasira ziishe.
 
Loh! Watu wabayaa sasa ulirudi bara au ulimalizia weekend zenji??
 
Ha,ha,ha......Wacha nicheke mie , kila mtu ana mikasa yake jamani!!!! Mingine inafurahisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom