kwa upeo wangu nafahamu kuwa hakuna jambo jema kama kutunza kumbukumbu hasa zile ambazo baadae zinaweza kukusaidiakatika kuleta uhakika wa hoja au jambo lolote linalohitaji uthibitisho, kubaki na na kadi kama kuwa kumbukumbu sio maana yake kuwa mwanachama hai, wangapi wana kadi za tanu na a.s.p...
umesahau kidogo hata huu ufisadi na wizi wa wana c c m umechochewa na chadema au vipi? Mtasingizia mambo mengi mwaka huu na bado mtakoma tu muda si mrefu mtajijua
we acha ubwege, kwani fuso la chadema limepaki wapi? angani au nje? na hapo nje ni wapi kama sio ofisi ya kata ya chadema? pia haijalishi kama juu ya fuso au jukwaani issue ni mkutano ambao ulifanyika daraja2 na mbowe alihutubia.
msipate shida wandugu hili gazeti ni la huyu jamaa kawogho albert mpambe na mtu apendae kujikombo na kujipendekeza kwa watu nilishawahi hapo siku za nyuma kutoa historia yake akiwa chuo cha sanaa bagamoyo, huyu namuonea huruma angekua mombasa! sijui kingemtokea nini kwa tabia yake ya kupenda vya...
kwani kwako wewe umri wa mtu unapimwa kwa uchakavu wa sura yake au idadi ya miaka yake aliyoishi? Kama vipi tunaweza kumuongezea umri mzee pinda kulingana na muonekano wa sura yake je tutakua tumepatia?
usafi na uchafu na udhaifu wa salma niulizeni mimi niliekaa nae pale mnarani kwa babu kushoto(marehemu moledina) na pia nikasoma nae liseco kisha nachingwea ttc namjua hasa! Hawezi kukosa mpinzani lakini loo!! Kweli pesa zinavunja milima.
huyu mc ni nani vileeeeee! oooh yes nimekumbuka yaani ni kisehemu nyuma ya mlima kilichodidimia kwa ndani kidogo ambacho watu wanaweza kulima ua kupata mahitaji ya maji kinahitwaje hicho? kibo...de.
kuna chama cha upinzani na chama cha ushindani sasa mimi naona adc ni chama cha ushindani na vyama vya upinzani sio chama cha mlengo madhubuti wa kisiasa.
hamna huruma kabisa ndugu yangu kamhanda jaribu kuvuta taswira kuwa huyu marehemu ameacha watoto wake wenye umri sawa na wakwako au wadogo zaidi ya wa kwako na yeye ndio alikua kila kitu kwenye familia je unajisikiaje? Hivi na wewe unajiita baba mwema mbele ya watoto wako? Watoto wako watakula...
namfahamu sana tundu lissu kuliko wewe unavyomfahamu, najua uwezo wake tokeo tukiwa darasa moja pale mlimani ni miongoni mwa watu wenye uwezo mkubwa wa kufikiri na kuufanyia kazi ubongo wake kwa kutoa maamuzi sahihi na yenye uhakika pasipo shaka kawaida ni mtu anayesimama kwenye ukweli na usawa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.