'Uchochezi' wa CHADEMA umefikia kubaya...

'Uchochezi' wa CHADEMA umefikia kubaya...

make your point clear!otherwise hamuwezi kukwepa lawama za 'uchochezi'

tena wamechochea ari mpya, kasi mpya maisha bora kwa watanzania.
tena wamedisclose udhaifu wa nani hii !!!!!!!!! aka baba mwana asha
tena walichochea kutaka kumtoa waziri mkubwa kuliko wote mwanawani.
tena wamechochea kulihuisha bunge la tanzania lililokuwa usingizini kwa miaka 50 ya uhuru.
UCHOCHEZI MKUBWA KULIKO MENGINE NA AMBAO UTAINGIA KTK HISTORIA NI KUPIGANIA MAISHA YA WANYONGE WATANZANIA KUTOKA KTK UTAWALA WA MAFISADI
 
CDM loh hatulali usingizi wenzenu, haya ona sasa mlivyochochea waislamu, wanachoma makanisa, wanachoma mabaa, wanaua policcm, wamechochea mauaji ya Barow, wamechochea weeeeee mpaka chaguzi za magamba zinaahirishwa sababu ya rushwa. CHADEMA noma wamechochea mpaka Simba inatoa droo mfululizo. Yaani CDM wananikera, wamechochea mpaka Jusa kajiuzuru, JK kabadili upepo wa kusaka wahisani, yaani sijawahi ona wachochezi kama CDM, wamechochea mpaka Kenya, mpaka sauz kweli hawa jamaa ni magwiji wa uchochezi.
 
Ama kweli mtu anavyozidi kuzeeka huwa akili yake inazidi kurudia utotoni. CCM imezeeka sana.
 
mlichochea kina mgaya yakapita
mkachochea wanafunzi wa vyuo vikuu yakapita
mkachochea wamachinga wa mbeya mkayamaliza
mmechochea wakulima wa korosho tukawapuuza,bado hamkuchoka mkaendelea kuchochea madaktari na walimu.
Sasa mmefika kubaya kwa kuchochea waislamu wagomee sensa.
Wasira alishawaonya bado hamusikii tu!

Naona sasa hivi mmejikita katika kuwachochea wananchi wa vijijini eti mwaita M4C...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah!

Hata wana UAMSHO ni CDM tu!! Hata wakulima wakigoma ni CDM tu!! Yeyote atakayedai haki yake kutoka kwa Serikali atakuwa amechochewa na CDM tu!!!
MATUMIZI YA UBONGO NI KWA BINADAMU NA HATA MASOKWE WANA UBONGO!! kweli nimechoka CCMABWEPANDE!!
 
Wewe ndo mvivu ambaye hutaki kukubaliana na mawazo ya mwenzako,tatizo lako unapenda kusikia unayoyapenda tu,usiyopenda kuyasikia ukiyasikia hutaki kuyakubali!!!!!we mtu gani,sikia na yale usiyopenda kusikia Bwana ahhhhhhhhhhhhhhhh!!
 
ewe binti uda, hicho chadema unachokizungumzia ni hiki ninachokifahamu au nyingine?

Lakini kama jibu lako ni hapana sasa basi watu tufike mahala tuanze kujiuliza ya kwamba hiki kilio cha mtu mzima kisichokua na kikomo huko ccm kwa chadema kwa kila baya inayowakumba mwisho wake hadi lini?

umesahau kidogo hata huu ufisadi na wizi wa wana c c m umechochewa na chadema au vipi? Mtasingizia mambo mengi mwaka huu na bado mtakoma tu muda si mrefu mtajijua
 
Jamani mimi napita tu nimechochewa na CDM nikaswali mwembe chai nikutane na wanaintelejensia wenye vitu vizito vingine vina nchakali baadae nikatoe hoja binafsi Baraza la wawakilishi kuwa magamba ni mwiko kususia baraza.teh teh nasikia spika zimeanza kukoroma adhana karibu nitarudi baadae Nokia salama.
wamewaingiza familia za watoto wa vigogo kwenye NEC ya ccm..wamesababisha wakuu wa masjeshi kujilimbikia mijiela kwa njia isiyo halali..
 
Ni hawa hawa CDM ndo wanawapiga watu na vitu vizito vyenye ncha kali..
NI hawa hawa cdm ndo wezi namba moja wa kura..
Ni hawa hawa cdm ndo namba moja kwa kuingia mikataba ya ovyo..
ni hawa hawa cdm wanawachochea maaskari wawatwange watu virungu...ni hawa hawa cdm.....ni hawa hawa cdm....ni hawa hawa cdm.......x1000..
Mtu ukiishiwa sera..unaweza ita soksi viatu..
 
Jamani mimi napita tu nimechochewa na CDM nikaswali mwembe chai nikutane na wanaintelejensia wenye vitu vizito vingine vina nchakali baadae nikatoe hoja binafsi Baraza la wawakilishi kuwa magamba walio chochewa na chadema kutoka nje ni mwiko kususia kikao cha baraza.teh teh nasikia spika zimeanza kukoroma adhana karibu nitarudi baadae Nokia salama.
wamewaingiza familia za watoto wa vigogo kwenye NEC ya ccm..wamesababisha wakuu wa masjeshi kujilimbikia mijiela kwa njia isiyo halali..
 
Jamani mimi napita tu nimechochewa na CDM nikaswali mwembe chai nikutane na wanaintelejensia wenye vitu vizito vingine vina nchakali baadae nikatoe hoja binafsi Baraza la wawakilishi kuwa magamba walio chochewa na chadema kutoka nje ni mwiko kususia kikao cha baraza.teh teh nasikia spika zimeanza kukoroma adhana karibu nitarudi baadae Nikijaaliwa
wamewaingiza familia za watoto wa vigogo kwenye NEC ya ccm..wamesababisha wakuu wa masjeshi kujilimbikia mijiela kwa njia isiyo halali..
 
Washika dau,

Chini ya Jua kuna majira na nyakati katika kila jambo na yote yana makusudi kamili yanapotokea. Moja ya mambo yanayoendelea sasa ni Vurugu na Fujo hizi za hawa ndugu zetu,watoto wa mama mdogo!. Pamoja ya kwamba zinaambatana na kupoteza uhai wa watu,kuharibu mali,watu kupata vilema na nk,ni mambo ya kusikitisha sana kwa jamii yetu hii tuliyostaarabika! lakini sehemu nyingine ni Fuzo kwa watawala dhaifu!

Itakumbukwa kwamba moja ya Single za magamba zikikolezwa Chorus na Viongozi wa vyombo vya dola ni kuwa Chadema ni chama cha Vurugu na kina hatarisha usalama wa nchi.Lakini jambo hili hata wao wanajua si kweli japo midomo yao inatamka hivyo (Wanafiki wakubwa!). Hivi karibuni mpaka leo tunataarifiwa kuna vrugu kubwa zinazo endelea huko DSM na maeneo mengine,watu wa imani fulani wakiandamana na kuleta Vurugu na wala sio wale wa itikadi ya Nguvu ya Umma.!

Sasa
ni vema kujihoji na kujiuliza ni kweli kuwa Vurugu hizi zinasababishwa na hayo tunayosikia au kuna hidden agenda nyuma yake? Kwa maoni yangu sababu ni hizi zifuatazo zimekuwa catalyst kuspeed up hii reaction

  • Watanzania wamepigika na kuchoshwa na ahadi hewa zilizotolewa na Rais wao tangu 2005 kwamba kutakuwa na Maisha bora kwa kila Mtanzania na kwa hiyo watanzania baadhi wanapitia mlango wa nyuma kupitia dini kutoa hisia zao! utauliza ni kwanini sasa wavunje makanisa? Saikolojia na historia ya wtt wa mama mdogo hapa TZ inalijibu hili....
  • Serikali dhaifu imekuwa ikifumbia macho vitu sensitive na sign ambazo ni alarm for our own security and welfare pasipo kuact kwa wakati na hili limechangia kuweka machungu moyoni mwa tz na hivyo kulipuka mahala pasipotarajiwa.
  • Viongozi wamekuwa watawala zaidi kuliko Viongozi na wengi wamejimiliksha nyadhifa za umma,kwahiyo badla ya kutumikia umma wanatumikia familia zao na matumbo yao hili pia linaleta maumivu katika jamii kwani wanaona yanayoendelea


Mwisho nauliza ,Enyi magamba na washika dau wenu bado mnafikra magando kwamba CDM ni chama cha vurugu? haya yanayotokea leo hii mnayaona? Mungu atawaumbua hata 2015!

Alamsiki!
 
Kila uchochezi ni CHADEMA, kila vurugu watu tunakisukumia CHADEMA; Je leo hii tunao usemi gani?

umesahau kidogo hata huu ufisadi na wizi wa wana c c m umechochewa na chadema au vipi? Mtasingizia mambo mengi mwaka huu na bado mtakoma tu muda si mrefu mtajijua
 
Vyama vya vurugu; taasisi za Sheikh Ponda, Sheikh Farid na shabiki wao mkuu behind the scene you know whom - CUF.
 
dah tutavuna walichopanda wanasiasa uchwara wa nchi hii
 
That's why I like BIBLE,

"I am sending you out like sheep among wolves. Therefore be as shrewd as snakes and as innocent as doves." (Matthew 10:16)
 
Huu ni mtazamo wa wavvu wa kufikiri, na umethbitisha hapa jamvini kuwa ww n mvivu wa kufikiri Mwalimu tangu 2007 walitishia kugoma, madaktar tangu 2001 wanagoma. Je ilikuwa ni chadema au kwa sababu chadema wamevunja ngome za magamba. Au n wafanyakazi kuchoka dhuluma kwa sababu wakubwa wanafaidika wao wanaumia.

Hujaelewa anamanisha nini, rudia tena, anamaana nzuri huyu!
 
hawa chadema wamechochea hadi maisha yakawa magumu.
Kama haitoshi wakchochea chenge akwapue hela ya rada
wakachochea watu wachukue hela za epa
wakachochea "mwenye nyumba" achukue suti 5 ili auza eneo la ngorongoro
waka chochea hadi rada ya jnia haifanyi kazi
waka cyhochea dk ulimboka mabwepande
waka chochea hadi dowans/richmond waje wachukue mabilion
waka chochea mgao feki wa umeme
waka chochea adi twiga waka toroshwa

hawa chadema bana sijui ni vipi<

Du ! Uchochezi mbaya sana huo ! wamechochea mpaka kikao cha UVCCM kule Mara kikaingia dosari, ikawa mangumi na mateke !
 
Wameweka kituo cha redio moro kinaitwa radio imani kwa ajili ya M4C yao jamani!
 
mlichochea kina mgaya yakapita
mkachochea wanafunzi wa vyuo vikuu yakapita
mkachochea wamachinga wa mbeya mkayamaliza
mmechochea wakulima wa korosho tukawapuuza,bado hamkuchoka mkaendelea kuchochea madaktari na walimu.
Sasa mmefika kubaya kwa kuchochea waislamu wagomee sensa.
Wasira alishawaonya bado hamusikii tu!

Naona sasa hivi mmejikita katika kuwachochea wananchi wa vijijini eti mwaita M4C...hebu tuacheni tupumue kidogo jamani ah!

kwleli UDA hata mi nakuunga mkono CDM wamemchochea hata rais wetu awe anasafiri kila siku utadhani yeye ni rubani wa gulf air,kama haitoshi wamechochea hata viongozi makini kutemwa na CCM Kwenye uchaguzi wa ndani yaani hawa chadema
 
Back
Top Bottom