Spike Lee
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 625
- 272
Ujinga wa mtoa hoja na muenezaji unatofautiana.
unafikiri nani mjinga zaidi, aliyeitoa au aliyeichukua kama ilivyo na kuipigia debe?
Ujinga uliotopea zaidi kupingana na ukweli
Ujinga wa mtoa hoja na muenezaji unatofautiana.
unafikiri nani mjinga zaidi, aliyeitoa au aliyeichukua kama ilivyo na kuipigia debe?
Ritz unaheshimika kwa hoja propaganda zinakupeleka kwingine kwa kujiingiza kundi la wajinga. Kwani wewe hujui kadi yako ya CCM ni mali yako haiwahusu Lumumba wala Chadema. Kama hujui huo ni ujinga.
Nape hana hoja za kijinga tu bali za kipumbavuuu. Mbona yeye ana kadi ya chama chake cha jamii na hakuna anayemgusa? Kweli nyani haoni kundule na wanaomuunga mkono nadhani ni wale wale wenye mawazo mgando kama yeye.
Awaeleze kadi za CCM za hayati Mwalimu Julius Nyerere na viongozi wengine waliofariki zimerejeshwa kwa nani kama ni mali ya chama.
acheni kumwonea Nape hoja ya kuwa Dr Slaa anamiliki kadi ya Ccm ipo hapa jamvini tangu mwezi wa tisa na mwazilushi wa hii hoja ni mimi Makupa
Kadi ni mali ya chama na ndio sababu chama husika kinaweza kukulazimisha urejeshe kadi yao!
je hakuna mtu ambaye hafahamu kama dr alikuwa ccm hapo kale?
Je alipo kuwa ccm alikuwa kama nani?
Je kama alikuwa mwanachama nini kilikuwa kinamtambulisha uwanachama wake?
Kumbe ni lazima kikatiba unapotoka kwenye chama kimoja kwenda kingine inakubidi urudishe kadi?
Mwisho kama nape anasema dr bado analipia kadi hiyo na fikiri kuna ushahidi tosha wa risiti za malipo hivyo atuletee copy ili tujue kati ya yeye na dr nani ndio muongo
la msingi hapa tuna lazimika kuwajulisha kina nape kuwa tanzania hatuhitaji kujua nani ana kadi sisi tunahitaji uwajibikaji kwenye mambo ya msingi, watu hawasomi, watu wana kufa kwa njaa, hakuna ajira, hakuna uwezeshaji mahiri wa kujiajiri nk. Haya ndio mambo ya kuangalia na kutujulisha watanganyika si sera za umiliki wa kadi.
acheni kumwonea Nape hoja ya kuwa Dr Slaa anamiliki kadi ya Ccm ipo hapa jamvini tangu mwezi wa tisa na mwazilushi wa hii hoja ni mimi Makupa
Nape na wenzie ni wavivu wa kufikiri!
Mtatunga hadithi nyingi kama ni ukumbusho yeye Slaa mbona hakuwaachia wengine nao wakae na ukumbusho?
Kama unashindwa kuelewa maelezo ya kisheria, umeamua kuutetea UJINGA na UNAPE, yetu machoacheni kumwonea Nape hoja ya kuwa Dr Slaa anamiliki kadi ya Ccm ipo hapa jamvini tangu mwezi wa tisa na mwazilushi wa hii hoja ni mimi Makupa
Mh Ritz nakuheshimu sana, lakini kupinga maelezo ya kisheria na kumwita "huyu wakili ndio mjinga" naanza kutilia wasiwasi umakini wako. Hoja ya kisheria haipingwi na propaganda, tuonyeshe ni kifungu gani cha katiba ya CCM kinachotamka kurudisha kadi?Ni kweli Makupa, huyu wakili anatakiwa akutafute wewe uliofichua hii kitu sio Nape...huyu wakili ndio mjinga anataka kupingana na ukweli.
Kweli mheshimiwa ulianzisha, lakini Nape kudandia hoja bila ya kufanya uchunguzi wa kikatiba ni UJINGA. Nape ni kiongozi mkubwa ndani ya CCM na mwenye elimu kubwa, lazima awe makini na hoja anazodandia. Nape na CCM ni adui wa maendeleoacheni kumwonea Nape hoja ya kuwa Dr Slaa anamiliki kadi ya Ccm ipo hapa jamvini tangu mwezi wa tisa na mwazilushi wa hii hoja ni mimi Makupa