Mauaji Nyororo - Trivia Question - Michael Kamuhanda yupo picha zote mbili? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mauaji Nyororo - Trivia Question - Michael Kamuhanda yupo picha zote mbili?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Candid Scope, Sep 3, 2012.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  Sep 3, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  [​IMG]

  Wakati wa tukio je, Kamanda Michael Kamuhanda yupo hapo? Mwenye fimo katikati?

  [​IMG]

  Kamanda wa polisi mkoa wa Iringa Michael Kamuhanda akizungumza na wanahabari leo kuhusu sababu za kuzuia mkutano wa Chadema leo Mufindi kwamba: "Tumejinga kwa lolote."
   
 2. N

  Njele JF-Expert Member

  #2
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 5, 2012
  Messages: 275
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Aliyesimama katika ya hao askori walimzingira marehemu mwenye kifimbo ni RPC ambaye picha yake nyingine ni hiyo hapo Chini. Ni uthibitisho kwamba aliyetoa amri ya kumwua ndugu yetu mpiganaji ni Kamanda wa Polisi wa Mkoa. Hapa chini laleta gari lake ambalo lilikuwepo katika tukio.

  [​IMG]

  Gari la Kamanda wa Polisi Mkoa ambaye alikuwapo katika tukio hilo na ndiye aliyeshuhudia tukio la Kuuawa Mwanahabari Daud Mwangosi.
   
 3. Butho Mtenzi

  Butho Mtenzi JF-Expert Member

  #3
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 326
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  mmmmm kaaazi kweli kweli, mwaka huu kazi tunayo! R I P MWANGOSI, Ni katika kutetea haki pengine tutaja pata Uhuru kutoka kwa wakoloni weusi
   
 4. k

  kagame Senior Member

  #4
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 6, 2008
  Messages: 159
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Haya mauaji ya raia wasiyo na hatia yanayofanywa na askari polisi yatakwisha lini na vipi au ni mpaka siku wananchi watakapoamua kumuonjesha umauti kamanda wa polisi wa mkoa wowote ule?
   
 5. a

  altaaf Senior Member

  #5
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 15, 2009
  Messages: 179
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35

  Duh hatari kubwa jamaa walipiga kwamasafa ya karibu inasikitisha marehemu alikuwa ameshikilia camera yake jeshi la polisi limefika kubaya hapa hapataki kuundiwa tume ni kuwajibishwa wahusika tu nadhani wa tz imefika mahali tutoke usingizini kama ni sheria hapa haipo tutumie mikono yetu .picha marehemu ukiiona unaweza usipate jibu na ukakosa utulivu siku nzima . poleni wafiwa poleni wa tz wote.
   
 6. MALI YA BABA

  MALI YA BABA JF-Expert Member

  #6
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 461
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 45
  Wanavuta bangi hawa polisi! Ndugu zangu waandishi wa habari hi leo imetokea kwa mwezenu huyu kesho itatokea kwa mwingine piganieni haki zenu jamani mi najua mnafahamu jinsi ya kuwaadhibu hawa polisi wote waliohusika katika tukio hili la kinyama kabisa mwandishi amekufa akiwa katika mikono ya polisi wavuta bangi hawa jamani dah! Inaumiza sana jamani!
   
 7. MBUFYA

  MBUFYA JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2012
  Joined: Aug 15, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Kwani yule polisi ambaye yuko mahututi kimempata nini? alipigwa na marehem?
   
 8. t

  thandiswa Member

  #8
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 86
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  RIP Daudi Mwangosi! Hawa polisi kuna wanachokitafuta si bure kwa kweli,wanatumiwa vibaya sn damu wanazomwaga za bila hatia watazilipa wakiwa hapahapa duniani.
   
 9. M

  Mgengeli Senior Member

  #9
  Sep 3, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 193
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hatuwezi kuendelea na kuwa na amani iwapo kundi moja halikubali mabadiliko na linatetea lenyewe kuendelea kuongoza hata kama limeshindwa kuwaondoa wananchi wa kawaida katika rindi la umaskini LALA KWA AMANI DAV
   
 10. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #10
  Sep 3, 2012
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Nalo litakufa tu angalia mtumbo umejaa mavi tu. Askari gani nyama uzembe hivi?
   
 11. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #11
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,830
  Likes Received: 10,142
  Trophy Points: 280
  mBWA mkubwa
   
 12. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #12
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Jitu lenyewe jeuusi kama dubwasha.Ji ..Ng.A sana hili.
   
 13. N

  Nyalutubwi JF-Expert Member

  #13
  Sep 3, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 572
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  Polisi mnafanya haya kwa manufaa ya nani?.Kamhanda raha gani utakayokuwa nayo wewe na familia yako wakati umemua Daud Mwangosi bila kuwepo na sababu yeyote.Watanzania tujiulize kuhusu sheria zetu zinazowapa askari polisi kuua raia pasipo wao kuwajibika kwa vifo hivi.
   
 14. Goldman

  Goldman JF-Expert Member

  #14
  Sep 3, 2012
  Joined: Dec 10, 2010
  Messages: 1,262
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  huyo jamaa ni mpumbavu na mjinga na viongozi wote wa juu yake wasipo chukua action nao ni wapumbavu na wajinga haswa! Inaonyesha jinsi nchi inavyotawaliwa na viongozi wajinga, wadhaifu wasio fikiria wananchi, bali wanawazia maslahi yao.
   
 15. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #15
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mie naomba niulize swali moja tu!!!

  " KWA NINI CHADEMA WANAFANYA MAANDAMANO PASIPO KIBALI.....? "
   
 16. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #16
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  '' na kwa nini maandamano yafanywe kwa kibali?''
   
 17. Mu-Israeli

  Mu-Israeli JF-Expert Member

  #17
  Sep 3, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 2,456
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  Angalia picha vizuri, utaona kuwa mwandishi ameelekezewa mtutu wa bunduki ya kufyatulia mabomu ya machozi. amuda mfupi tu mwandishi amefariki kwa kulipuliwa na bomu hilo. Hii ina maana kuwa askari aliywmwelekezea mwandishi bomu mtutu wa bunduki alifyatua bomu hilo ambalo lililipuka tumboni kwa mwandishi na kumuua papo hapo. Kwa kuwa mwandishi alikua karibu sana na askari, mlipuko huo ulimjeruhi pia askari huyo, ambaye anaonekana kwenye picha akisaidiwa (akibebwa) na wenzake.
   
 18. d

  davidie JF-Expert Member

  #18
  Sep 3, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 329
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hamna huruma kabisa ndugu yangu kamhanda jaribu kuvuta taswira kuwa huyu marehemu ameacha watoto wake wenye umri sawa na wakwako au wadogo zaidi ya wa kwako na yeye ndio alikua kila kitu kwenye familia je unajisikiaje? Hivi na wewe unajiita baba mwema mbele ya watoto wako? Watoto wako watakula na kunywa na kwenda shuleni leo hii kwa furaha tele je watoto wa marehemu daudi leo hii wanahali gani? Ebu jiulize leo hii kama marehemu angekua rpc na wewe ni mwandishi wa habari hali hii ungeitazamaje? Mnaua wenzenu ili mmpandishwe vyeo, ili mlinde maslahi ya wakubwa kumbukeni ni ma rpc wangappi kabla yenu walikuwepo na wamepita, au hata u igp ni nini mbele ya maisha ya mwanadamu mwenzako? Damu za hawa marehemu hazitaacha kuwalilia kamwe na vilio vya watoto wao machozi yao yatafutwa na mungu. Inaniuma sana sana!.
   
 19. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #19
  Sep 3, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kibali kinahalalisha na kutoa information kwamba kutakuwa na maandamano na hivyo vyombo vya usalama havitastushwa na hali ya maandamano na kuzua taharuki huenda ni vurugu!!

  " Je polisi wakijitetea kwamba hawakuwa na taarifa kwamba kuna maandamano na wakajua ni vurugu zimetokea, tutasema nini? "
   
 20. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #20
  Sep 3, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 689
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...