CHADEMA,naomba niwaulize?

miaka 5 mara 1500/= unapata 5500. hawa ndo chadema, hata hesabu rahisi zinasumbua.

wewe ndio kichwa chako kizito kuchambua mambo. Hapo kujiunga ni jero na kila mwaka ni 1000 sasa kwa miaka mitano jumlisha ada ya kujiunga inakuwa bei gani? Ila sikulaumu maana nyie mafisadi hesabu ndogondogo mmesahau zenu ni mabilioni tu. Hongereni ila siku ipo na kama sio hapa hata kwa mungu ipo.
 
Nimeamini cdm tu vilaza, mtu alikuwa chuoni wa Kibaha anakaa Mikocheni B kwa Mdee hajui apate wapi kadi. Lakini kikubwa ni hiyo bei ya ada ya kadi miaka mitanom buku kila mwaka ni 5500. Ahaaa nimechoka, nilkuwa napita kwenda kupumzika nikakutana na hili, mchoko unazidi. Twafaaaa
bora ungeendelea na mapumziko yako maana hapa umeweka pumba tupu. Pumzika kisha jaribu kupitia ulichokiandika.
 
Sikuwa chama chochote kaka. Niligoma kujiunga UVCCM nilipokuwa Chuoni.Nataka kuwahi kuwakomboa watu wa Kibaha
Mkuu umetoka chuo gani ambacho mpaka umehitimu hujui kadi za vyama vya siasa zinapatikana wapi !
Huko kibaha kaongeze nguvu tu, harakati za ukombozi zilianza mda ila wewe na wengine ndo mlikuwa mnachelewesha .
 
Safi sana usijali kadi utapata. Amsha na wengine kamanda wasije wakaenda kwenye chama la walaaniwa, wala nchi, minyonyaji ccm. Ptuuuu!
 
Kadi zenu zinapatikana wapi? Bei gani pamoja na ada ya miaka mitano? Nyinyi ndio mliobaki nikiwaamini nchi hii

Karibu kamanda Kichwa kichwa.

Naona makamanda hapa wengine wameshajibu maswali yako. Unaweza kupata kwenye ofisi ya tawi lililo karibu nawe. Unakwenda na picha zako, passpot size, mbili, utatoa details zako. It is just a matter of seconds. Then utalipia ada ya kiingilio sh. 500 pia utatoa ada ya mwaka ambayo kwa mwaka mmoja ni sh. 1000. Unaweza kufanya mahesabu hapo kiasi gani kulipia miaka mitano.

Karibu kwenye mapambano kwa ajili ya taifa letu.
 
mimi na uelewa wangu ninaamini chama kitakacho komboa taifa letu kwa muda muafaka ni CHADEMA kama ni uongo subili mchakamchaka ndo mtaamini by General Kipara:target::target:
 
Chadema ni chama makini iliyobakia kijana!karibu Chadema!hujakosea nyumba!CDM ndo meli itakayowafikisha watanzania nchi ya ahadi!Kadi ni Tsh 500,ada kwa kila mwaka ni Tsh 1000,thus 1000 ada*5miaka=5000+500ya kadi=5500!Chadema ina ofisi karibia kila kata na matawi mengi!nenda kwenye ofisi iliyo karibu yako,watakupa mwongozo na si lazima kwenda mpaka makao makuu!Thanxs!Karibu CHADEMA!CHAMA MAKINI KWA UKOMBOZI WA NCHI NA RASILIMALI ZETU.
 
jamaa anaonekana anataka uongozi, mkaribisheni kwa taadhali na muelekezeni afike kwanza kwenye tawi lake anapoishi au aende kawe kwenye ofisi ya wilaya. kwa maelekezo zaidi.
 
Back
Top Bottom