Sauti Huru: Kundi la Mbowe Lapanga Kummaliza Dr.Slaa

Ni kwamba leo asubuhi nikiwa safarini mjini Dodoma nimesikia mapitio ya magazeti katika redio moja inayoitwa Impact FM, kichwa cha habari cha gazeti liitwalo Sauti Huru kimesomeka hivi 'Maskini Dr.Slaa, kundi la Mbowe lapanga Kummaliza, yumo Lema'.

Habari hiyo itakuwa imewashtua wanachama, wapenzi na watanzania wanaopenda mabadiliko. Hivyo naomba viongozi wa CHADEMA wasikubali kugawanywa na maadui wao kisiasa kwani CHADEMA kwasasa kinaonekana kuwa ni tegemeo la wanyonge.

Pengine hiyo ni mojawapo ya harakati za kutaka kukidhoofisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Ikumbukwe kwamba tangu mfumo wa vyama vingi uanze nchini, kila chama cha upinzani kinachoonekana kuwa na nguvu za kisiasa hutafutiwa mbinu za kukidoofisha.

Hili gazeti lipo nchi hii? Ni la Shigongo? Sihitaji kufikiria sana kujua lengo la habari hii!
 
CCM ndio inamakundi hatari.wamempiga chini filikunjombe kisa sio mnafiki..ukiwa ccm kwenyen nyeupe jaza nyeusi utakubalika.!
 
Kuna magazeti mengine wala huwa sina haja hata kuyasoma yaani yamekaa kimagumashi tu,jamani kuna yeyote ambaye amewahi nunua gazeti hili?Maana ndio kwanza nalisikia leo.

Hivi ni vile vijarida vinavyouzwa kwa kilo. Wala usiumize kichwa

 
ni kwamba leo asubuhi nikiwa safarini mjini dodoma nimesikia mapitio ya magazeti katika redio moja inayoitwa impact fm, kichwa cha habari cha gazeti liitwalo sauti huru kimesomeka hivi 'maskini dr.slaa, kundi la mbowe lapanga kummaliza, yumo lema'.

Habari hiyo itakuwa imewashtua wanachama, wapenzi na watanzania wanaopenda mabadiliko. Hivyo naomba viongozi wa chadema wasikubali kugawanywa na maadui wao kisiasa kwani chadema kwasasa kinaonekana kuwa ni tegemeo la wanyonge.

Pengine hiyo ni mojawapo ya harakati za kutaka kukidhoofisha chama cha demokrasia na maendeleo (chadema). Ikumbukwe kwamba tangu mfumo wa vyama vingi uanze nchini, kila chama cha upinzani kinachoonekana kuwa na nguvu za kisiasa hutafutiwa mbinu za kukidoofisha.
hapa utawakera wana cdm, na utashuhudia matusi sasa hivi we sikilizia tu. Maana matusi ndo ukombozi wao.
 
Mleta mada ni mhariri wa Sauti huru analifanyia publicity gazeti lake la Leo, hivyo tusipoteze muda kumsaidia kafanya matangazo bila gharama
 
Hao wameshaona wakiandika habari za ccm haliuziki kwa hio wameamua kuweka story za cdm ndio litauzika ukisoma ndani lazima utakuta kitu tofauti
 
Nina kumbukumbu mbaya juu ya taarifa zitolewazo kwa staili hii,
Wasira alimuandalia tendwa mazingira ya kukifuta chadema kwa kutabiri kuwa chadema kitakufa ndani ya mwaka,

Nape alikaririwa akisema "chadema watajifanyia fujo kwenye mkutano wao morogoro, na mwendelezo wake iringa"

RIP Mwangosi umekuwa ni silaha ya kuangamiza silaha nzito ya maangamizi ninayoitambulisha kwenu kuwa ilikuwa ikiitwa TENDWACCM Brimstom.

Chambueni kuanzia hapa,
kila walipowahusisha chadema kufanyiana vurugu ama mauaji nini kilitokea!!!!!!!
 
Wanang'ang'aniza makundi yawepo cdm. Hilo gazeti lina mimba ya gazeti la UHURU.
 
Kuna magazeti bwana nini sauti huru, gazeti aliuzi hata copy 100 azifiki, na yameanzishwa kwa malengo kama hayo ya mchezo mchafu.....ingekuwa imeandikwa tanzania daima, mwananchi, nipashe kidogo watu wangetake attation
 
RADIO:IMPACT FM

GAZETI:SAUTI HURU
Hayo ni yako chadema ipo mmoja mtatumia kila mbinu haitagawanyika kamwe! mbinu zilizotumika NCCR,na CUF tunazijua kamwe hamuwezi kuzitumia kwa chadema!never divide and rule haiwezekani kwa peoples power!!!!!!!!!

msipate shida wandugu hili gazeti ni la huyu jamaa kawogho albert mpambe na mtu apendae kujikombo na kujipendekeza kwa watu nilishawahi hapo siku za nyuma kutoa historia yake akiwa chuo cha sanaa bagamoyo, huyu namuonea huruma angekua mombasa! sijui kingemtokea nini kwa tabia yake ya kupenda vya bure na kujikomba.
 
Laiti ungelikuwa unalifuatilia gazeti hilo na vichwa vyake vya habari juu ya Chadema wala hata usingeshituka kiasi hicho. Ndo aina yao ya mtoko hiyo, wao na habari zisizofaa za Chadema wakati wote.
 
Huu uongo mwingine bwana!
Gazeti lenyewe sauti huru!

Mbowe anataka kugombea yeye urais 2015 kwa ghalama yeyote ndio maana mambo ya kipuuzi anamtanguliza slaa ili slaa aendelee kushuka thamani kama vile kutoa matamko ya uongo,kuandika sms kwa IGP na kuwatumia vijana kumchafua slaa mitandaoni.
 
Ni kwamba leo asubuhi nikiwa safarini mjini Dodoma nimesikia mapitio ya magazeti katika redio moja inayoitwa Impact FM, kichwa cha habari cha gazeti liitwalo Sauti Huru kimesomeka hivi 'Maskini Dr.Slaa, kundi la Mbowe lapanga Kummaliza, yumo Lema'.

Habari hiyo itakuwa imewashtua wanachama, wapenzi na watanzania wanaopenda mabadiliko. Hivyo naomba viongozi wa CHADEMA wasikubali kugawanywa na maadui wao kisiasa kwani CHADEMA kwasasa kinaonekana kuwa ni tegemeo la wanyonge.

Pengine hiyo ni mojawapo ya harakati za kutaka kukidhoofisha Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Ikumbukwe kwamba tangu mfumo wa vyama vingi uanze nchini, kila chama cha upinzani kinachoonekana kuwa na nguvu za kisiasa hutafutiwa mbinu za kukidoofisha.

Hakuna asiyejua mwenendo wa gazeti hili.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Makundi yapo sisiemu.! Chademja hatuna makundi,upumbavu wenu wakifisadi pelekeni huko kwa jeykey na magamba wenzake.

Umri wako bado mdogo. Makundi hutokea eneo lolote lenye mafanikio, kwa kuwa CDM inajaribu kupata mafanikio, omba uhai tu utaona makundi ya ajabu 2015. Sisi wazee tumeshayaona hayo.
 
Sana ungetutajia pengine republican, congress tungekuelewa. Hivi tangu lini ukasikia watu walioungana kwa uovu wakaendelea kuwa pamoja! Lazima hawakai sana watageukiana tu, kila mmoja anajua ushenzi wa mwenzie, kabla hujaniwahi nakuwahi.
Ccm hawajaungana kwa mema, wako kwa kudhulumu, wataendelea bila makundi au ugomvi, si itakuwa ajabu basi. Hiyo ni principle ya urafiki au umoja kwa ajili ya uovu, baada ya kutimiza lazima mgeukane
 
Back
Top Bottom