pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 19,030
- 15,232
Haiwezekani kamwe! Mie najua raisi kupitia CCM ni Mwigulu,au January, au R1, au Lusinde, au Nape
hiyo mijadala tulishaimaliza sasa tunajadili namna ya kuongoza serikali chini ya LOWASA.labda niulize hayo,ya nani atakuwa rais hayo hatujadili tena kwani anajulikana
Kuanzia sasa mtu yeyeote anayetaka kuuliza chochote Rais Mtarajiwa Mh.Edward Lowassa anatakiwa kuuumiliza Bw Abubakar Liongo ambaye ameteuliwa rasmi kuwa msemaji wa Lowasa.
Lowasa kuanzia sasa hatakuwa na muda wa kujibu maswali ya waandishi wa habari bali jamabo lolote kuhusu Lowasa aulizwe Liongo!
Anyetaka mawasiliano yake ani-PM nimpatie.
Ukipata taarifa hii mjulishe na mwenzake.
Njia ya ikulu nyeupe kwa Lowassa!
Twenzetu!
Mwinyi kwao ni Mkuranga.........!!!
Zanzibar hawajawahi kutoa Rais.
Kweli? Amani Karume, Salimin?!!rais mzawa halisi wa zanzibar ni huyu aliyepo sasa...wengine wote ni wazaliwa wa bara
Pasco wa JF kesha toswa. Teh teh ...DJ Baraka said:Kuanzia sasa mtu yeyeote anayetaka kuuliza chochote Rais Mtarajiwa Mh.Edward Lowassa anatakiwa kuuumiliza Bw Abubakar Liongo ambaye ameteuliwa rasmi kuwa msemaji wa Lowasa.[/B]
Lowasa kuanzia sasa hatakuwa na muda wa kujibu maswali ya waandishi wa habari bali jamabo lolote kuhusu Lowasa aulizwe Liongo!
Anyetaka mawasiliano yake ani-PM nimpatie.
Ukipata taarifa hii mjulishe na mwenzake.
Njia ya ikulu nyeupe kwa Lowassa!
Twenzetu!
Labda ikulu ya Monduli lakini sio Tanzania
Kuanzia sasa mtu yeyeote anayetaka kuuliza chochote Rais Mtarajiwa Mh.Edward Lowassa anatakiwa kuuumiliza Bw Abubakar Liongo ambaye ameteuliwa rasmi kuwa msemaji wa Lowasa.
Lowasa kuanzia sasa hatakuwa na muda wa kujibu maswali ya waandishi wa habari bali jamabo lolote kuhusu Lowasa aulizwe Liongo!
Anyetaka mawasiliano yake ani-PM nimpatie.
Ukipata taarifa hii mjulishe na mwenzake.
Njia ya ikulu nyeupe kwa Lowassa!
Twenzetu!
Mkuu Gagi, laiti ungalijua!.Pasco wa JF kesha toswa. Teh teh ...
Nataka kujua kuhusu ule mgao wa Richmond umefikia wapi? Pia tumesikia rafiki yake kipenzi Rostam ametajwa kuwa Tajiri namba moja Tanzania, Je kwenye utajiri huo lowasa ana mchango gani?
Kumbe kuwa mzalendo ni kutomaliza stages of evolution.Rais wetu lazima awe na sifa za kizalendo huyo si mwingine bali ni Stephen Masato Wassira.
You mean the equation can be balanced as DJ Baraka = Pasco!Mkuu Gagi, laiti ungalijua!.
Pasco
You know I was just joking. Sijakusoma kitambo nikaona nikuchokonoe kwa hilo.Mkuu Gagi, laiti ungalijua!.
Pasco
You're wrong. Kapuya atakuwa PM wa President Wasira.Ni kapuya 2015
Kuanzia sasa mtu yeyeote anayetaka kuuliza chochote Rais Mtarajiwa Mh.Edward Lowassa anatakiwa kuuumiliza Bw Abubakar Liongo ambaye ameteuliwa rasmi kuwa msemaji wa Lowasa.
Lowasa kuanzia sasa hatakuwa na muda wa kujibu maswali ya waandishi wa habari bali jamabo lolote kuhusu Lowasa aulizwe Liongo!
Anyetaka mawasiliano yake ani-PM nimpatie.
Ukipata taarifa hii mjulishe na mwenzake.
Njia ya ikulu nyeupe kwa Lowassa!
Twenzetu!
Watu wote wanaomkataa Lowasa pamoja na tofauti zao za Dini,Kabila,Elimu,Kipato,Makazi,Rangi,jinsia,Madaraka wanafanana kitu Kimoja WANA UHABA WA UZALENDO kwa Nchi!