Recent content by David ngayanimo

  1. David ngayanimo

    JamiiForums Tanzania NGONI TRIBE

    NGUVU YA VYOMBO VYA HABARI NA ANGUKO LA NGONI TRIBE BAADA YA KUMJIBU LADY JAYDEE: Nyuma ya miondoko ya ladha ya asili na mashairi yaliyoteka hisia za Watanzania wengi kuanzia mwishoni mwa miaka ya '90, kuna ukweli mzito wasioujua wengi Wadau wengi wa Muziki kuhusu safari, mafanikio na...
  2. David ngayanimo

    JamiiForums Tanzania TUZO YA HESHIMA KWA PHILBERT KABAGO

    PHILBERT KABAGO ATUNUKIWA TUZO YA HESHIMA LZA 2026 Mchango mkubwa wa Philbert Kabago katika kukuza vipaji, kusimamia ubunifu na kuleta mabadiliko chanya katika sekta ya burudani Kanda ya Ziwa umetambuliwa rasmi kupitia Lake Zone Awards (LZA) 2026. Kabago ametunukiwa Honorary Award for...
  3. David ngayanimo

    JamiiForums Tanzania MATUNDA YA PHILBERT KABAGO

    PHILBERT KABAGO: MCHANGO WAKE ULIOACHA ALAMA ISIYOFUTIKA KWENYE MUZIKI Katika tasnia ya burudani, kuna watu ambao mafanikio yao hayapimwi tu kwa sauti zao kwenye maikrofoni, bali kwa alama wanazoziacha kwenye maisha ya wengine. Philbert Kabago ni mmoja wa mhimili hao muhimu—mtu aliyefanya...
  4. David ngayanimo

    JamiiForums Tanzania KALA JEREMIAH - WIZI MTUPU

    ## 🎧 INTRO / UTANGULIZI Marc, uliza wizi! Hi..!! 0444 ... ## 🎤 VERSE 1 Wanasayansi walidai nilitokana na nyani, / Biblia yangu inasema aliniumba manani / Ndio maana naziona skendo mnazofanya gizani / Dala dala zinakusanywa zinashusha Sinza makaburini / Mchana dini, usiku ndani kimini / Waumini...
  5. David ngayanimo

    JamiiForums Tanzania MSANII G SOLO - MUDA WA VITENDO

    🔥 JE, HIP HOP YA ZAMANI ILIKUWA SAUTI YA JAMII? Kuna kipindi Hip Hop haikuwa burudani pekee, bali ilikuwa pia kioo cha jamii. Wasanii walitumia kalamu zao kuzungumzia maisha ya wananchi, siasa, uchumi, rushwa, elimu, ajira na changamoto mbalimbali zilizokuwa zikiikabili Tanzania. Leo...
  6. David ngayanimo

    JamiiForums Tanzania Jamaa yangu - Yaki

    JAMAA YANGU Msanii: YAKI Producer: Amba Intro Yoh Amba it's Yaki again Babi this song special dedicate to ma best friend --- Verse I Tumeishi kama ndugu moja wa kuzaliwa/ We kushoto mi kulia mtaani walitushuhudia/ Unapoonewa lazima ntaingilia/ Ndivyo ilivyokuwa na kwa upande wako pia/...
  7. David ngayanimo

    JamiiForums Tanzania Full interview na msanii bab lee mzee wa kizizi

    Ukwaju wa kitambo hapa 0767 542 202 Akiwa na msanii bab lee full story fuatilia interview hii
  8. David ngayanimo

    JamiiForums Tanzania Ukwaju wa kitambo na msanii dollo full interview

    Full interview na msanii dolo kutoka tmk & wachuja nafaka
  9. David ngayanimo

    JamiiForums Tanzania Full interview na Afande Sele kuhusu Watu pori & Ghetto boys

    ukwaju wa kitambo na afande sele mwaka 2022
  10. David ngayanimo

    JamiiForums Tanzania SAA MBAYA RMX - ( O TEN & BUFF G)

    Buff G - SAA MBAYA Ni wakati wa kuangilia na kusema lakini sio kilio salio katika saa hii ni mapingano Wafaindikao Wazee Serikalini wapi na wapi kijana juzi kahitimu Elimu ya Juu kazi mpaka uzoefu wa Miaka Kumi Huu sio uvumi kinachoingia Masikioni huwa hakipotei Vijana Tanzania 🇹🇿 hatuna...
  11. David ngayanimo

    JamiiForums Tanzania SNARE - JINSI INAVYOKUWA

    SNARE - JINSI INAVYOKUWA [Vperse 1] Toka zamani ndoto yako kuwa mwanamuziki / Ukaandika mistari, ukapiga tizi, ukawa fiti / Singo ya kwanza hewani, juu kwa juu ikatiki / Watu bila Ubishi kazi wakaikubali / Interviews kila kona, wabaya wakata hayari / Washikaji 'fangio', madem wakazimia...
  12. David ngayanimo

    JamiiForums Tanzania CHID BENZI -POPOMPOO PISHA

    Chid benz - popompoo pisha [Verse] - 3 This for hood shit girls, you and your fellows / Wakongwe hawaendi na muda, yaani wabishi mpaka kero / Mengi mnayoongea hayafanani nikitokea / Mnashindana, nikiwashinda mnasema nawaonea / Kila siku magazetini mu-mbaya mimi, mu-mbaya mimi / Siku ya mwisho...
  13. David ngayanimo

    JamiiForums Tanzania Mpenzi kwaheri - Jay Moe

    JAY MOE - MPENZI KWAHERI Intro: "Au sio Kwahiyo ndio Unaondoka sio , Amna Noma Bwana , Mi ndio Hivyo Nipo, Au sio kinachoenda ndio kinachorudi." Verse..1 Kwanza sikuwa na Muda wa Mapenzi kabisa/ Niliumia kichwa Kwa sababu Ya Mapenzi Ya pesa/ Bila shaka Mapenzi Mazuri hayahitaji Tajiri/...
  14. David ngayanimo

    JamiiForums Tanzania IBRAH DA HUSTER

    Kisa cha Ibrah Da Huster Kwenye Jukwaa la Miaka 30 ya Bongo Fleva Katika maadhimisho ya Miaka 30 ya Bongo Fleva yaliyofanyika Rock City Mall jijini Mwanza, kundi la Nako 2 Nako lilipata nafasi ya kupanda jukwaani na kuwakumbusha mashabiki baadhi ya nyimbo zao za zamani. Kundi hilo lilikuwa...
  15. David ngayanimo

    JamiiForums Tanzania MR SUGU & BALOZI - BONGO FLEVA

    MR SUGU & BALOZI - BONGO FLEVA VERSE. 1 Mimi ni dreva/ Na nitabaki hivi forever/ Najua nifanye nini ili nibaki kuwa super/ Nilishasema mimi ni zaidi ya rapa/ Na watu ndio wanataka nizidi kubaki hapa/ Nataka number one DJ, muweke number one/ Mi kwanza nataka mshiko ndipo niwe number one/ Dani...
Back
Top Bottom