CHID BENZI -POPOMPOO PISHA

CHID BENZI -POPOMPOO PISHA

Joined
Nov 8, 2018
Posts
23
Reaction score
27
Chid benz - popompoo pisha

[Verse] - 3

This for hood shit girls, you and your fellows /
Wakongwe hawaendi na muda, yaani wabishi mpaka kero /
Mengi mnayoongea hayafanani nikitokea /
Mnashindana, nikiwashinda mnasema nawaonea /
Kila siku magazetini mu-mbaya mimi, mu-mbaya mimi /
Siku ya mwisho Tanzania inanitunuku tuzo mimi /
Still niko huru, la familia Ilala /
African soldier, black, thin inayong'ara /
Zali halina mentali, mentali ndo ana zali /
Mungu mkubwa kanipa mimi, nashukuru sikose ugali /
Kuandika mistari mimi /
Kaa jukwaani mimi /
Watoto rafiki yao mimi /
Na wewe shabiki wangu mimi /
Kipi nilichofanya mpaka mwenzangu unanikana /
Changu mchonyo /
Vipi cha kwangu tunagombana /
Hello my shoulder, amri sio order /
Waoga, check, mnalewa tu kwa soda.....

ukwaju wa kitambo
0767 542 202
1786790968795.jpg
 
huyu jamaaa alikuwa mwingi sana ka Uduvi, masister duu break zishaloose,
mavitu flani ya kinyangema mabikini in majacuuuz,
 
Back
Top Bottom