Ni simpo tu, kila kipindi ni dakika 10 na mada inalainishwa kama mlenda. Twende tukapige kazi mtani. Unaumiza akili ya nini wakati tupo uchumi wa kati?[emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]
Huku vunjo mabango makubwa ya mrema yamebandikwa picha za magufuli yaqni kushoto magufuli na mrema kuli. Tangu tumeanza kampeni hadi leo. Je tume ilishamwita au kumpa onyo mrema au sisem? Tuache double standard asei
Weka bei ya hapo ulipo kwa gunia la mahindi 100kg na maharage 100kg. Lengo ni kulinganisha bei ktoka maeneo mbalix2. Unakimbilia tu mtaji we vp? Usisahau kuweka na gharama za ukusanyaji na usafirishaji. In short,weka taarifa fupi na yenye takwimu
Historia hii ingekuwa tamu zaidi kama ungeweka miaka na majina ya hao majemedari wa mashami! Pia uwaandikie Dr shoo Askofu wa kkkt DK na mwenzake Askofu Ludovick Minde wa Jimbo Katoliki Moshi na wengine ili waongoze upatanisho uliopendekeza?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.