Simba msijidanganye kwamba mnayo timu bora kwa kuifunga ST. George

Mtanzanias

JF-Expert Member
Jul 30, 2021
1,747
3,723
Nilishangaa Sana simba kwenda kuwaalika st.george ya ethiopia kucheza nao, kweli wamechagua timu ya kupata matokeo hili kuwafurahisha mashabiki wao lakini kama ni kipimo cha kujiandaa kucheza mechi za kimataifa basi wamepotea njia kwa aina ya timu waliyocheza nay.

Timu inapiga chenga na kucheza show game awaeleweki wanataka nini, Na nimewafatilia nimeona uwa wanaishia hatua za mwanzo kwenye mechi za kimataifa ni ngumu Sana kutoboa kwa timu ya aina hii.

Simba mmeshinda lakini hii timu haikuwa kipimo sahihi kwenu na kwa kuwaonyesha kuwa akikuwa kipimo sahihi subilini jumamosi mtakapocheza na wale waliofungwa juzi, Mapungufu yenu mtaonyeshwa jumamosi Kama nyie ni bora ama lah!
 
Yaani Kuna mbuzi
 

Attachments

  • IMG-20220808-WA0089.jpg
    IMG-20220808-WA0089.jpg
    26.5 KB · Views: 3
Kweli hiki ndio kipimo bora
Yanga 9–0 friends rangers
Yanga 5–1 transit camp
Yanga 2–0 namungo
Yanga 0–2 vipers

Hapo mtani mnaenda mpaka fainali halafu jifunze kuandika vizuri kwa kuacha nafasi ndo maana Morrison alisema mmekimbia umande.
 
Hahahhahahahah!pumbavuu mmoja iv baada ya pressure na kinyee kutaka kutoka anaanza kujiarishiam...kwan hyo team yenu iliishia wap mwaka janaaa?
 
Kuna katimu bongo kanapenda kujilinganisha na Simba na kutembelea nyota ya simba
 
Yaani we unapaswa uwe mbishani kwenye vijiwe vya kawaha mitaani uswahilini na si humu JF. You've not yet qualified even to talk about your utopolo team due to your thinking capacity
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom