Therapist 2015
JF-Expert Member
- Aug 4, 2018
- 791
- 832
- Thread starter
- #21
Ok, nashukuru lakini changamoto kupata contact husika.Peramiho girls wanahitaji mwalm wa math....fatilia
Ok, nashukuru lakini changamoto kupata contact husika.Peramiho girls wanahitaji mwalm wa math....fatilia
Naweza pata contact zao?Peramiho girls wanahitaji mwalm wa math....fatilia
Ok, nashukuru lakini changamoto kupata contact husika.
Mtandaoni, nimeangalia sana hakuna directly contact zao.Kila kitu kipo mtandaoni siku hz mwl unalazaje damu? Changamka
Nimeona tangazo huko ngoja nikutafutie namba zaoMtandaoni, nimeangalia sana hakuna directly contact zao.
Nitashukuru aiseeNimeona tangazo huko ngoja nikutafutie namba zao
Mkuu, nipe connection.Niambie,una shahada au stashahada? Au ni mwl by just experience?