We naye ndo emptyset kabisa, kama kathibitisha umri wake, na akashinda kwenye hicho cheti cha kuzaliwa si kuna sehemu ya place of birth na nationality za kujaza, so hao maafisa wa uhamiaji hawakuziona?Angalia usije kunasa kwenye group la watu wanaowahi kujibu bila ya kujua wanachotakiwa kujibu. Huyo bwana alichohojiwa na kushinda ni suala la umri wake. Hilo la uraia ni case tofauti.