Recent content by Dannycage

  1. D

    JamiiForums Tanzania Ukifanya Kazi hizi mwisho lazima ufe kwa ngoma (75%)

    Fundi decoder. Hahahhahahahahahahhaa.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Rished Bade ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu Mpya TRA

    Sahivi hasara bilioni 80 ndani ya mwaka mmoja na nusu.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Studio mpya za Azam Media

    Kweli hongera sana Azam Media Group........
  4. D

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa Moshi kesho saa moja

    Vipi umefanikiwa ndugu?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Ajali ya lori na DCM eneo la External jijini Dar yaua

    Ajali itakuwa kati ya saa 2 na saa 3, maana nilipita hapo saa 4 kasoro, hilo Lori bado lilikuwepo na palikuwa na foleni ndefu na kali sana, DCM sikulikuta nahisi walilitoa ili lisiendelee kuzuia njia.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Wizara ya nishati na madini: Zawadi nono kwa atakayefanikisha kukamatwa kwa mtu anayetorosha madini

    Hata mimi imenishangaza sana, hadi tangazo wamechakachukua.
  7. D

    JamiiForums Tanzania Picha: Unawajua watoto wa Ali Kiba? Kila mtoto na mama yake

    King Mswati. :p
  8. D

    JamiiForums Tanzania Group za Whatsaap Ni shidaa

    Okay tumeshajua ulisoma physics na chuo ukasomea mambo ya networking.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Nimueleweje na nifanyaje?

    Ndio umeamua kunitangaza hadi huku?
  10. D

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Bungeni: Alhamisi, 27 Novemba, 2014 - Mjadala Ripoti ya Tegeta Escrow Account

    Aisee Umeme wamekata makusudi au?
  11. D

    JamiiForums Tanzania Malalamiko: TIGO Tanzania

    Mimi nadhani hapa ni kuwa na discipline itasaidia, wazo langu kama unajijua unatumia sana internet basi tafuta mtandao unaona unafaa kwa wakati huo, weka bajeti ya mwezi kulingana na gharama kwa wakati huo, tafuta wireless modem ili iwe rahisi kutumia kwenye device yoyote nikimaanisha ukiwa na...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Hot story

    Naona ule usemi "maneno ya mkosaji", story ni nzuri na huo ndio uamuzi wake, tuheshimu maamuzi ya mtu, atakayehitaji atanunua tuu ndio ukweli, huwezi ukawa mpenzi wa story halafu ubanie kutoa 10,000 kununua kitabu ambacho umeshaanza kupata utamu wake. Kama imekuboa wewe susa wengine wale. Eddy...
  13. D

    JamiiForums Tanzania 10 Worst Airports in the world: JKNIA- Dar es salaam haimo, hongera!

    Hivi ni JKNA au JNIA tusije changanya habari but kwa uwelewa wangu ni Julius Nyerere International Airport (JNIA) wamejaribu kutokumix kwa vile kuna Jomo Kenyatta International Airport (JKIA)
  14. D

    JamiiForums Tanzania Pata Simu Orijino kwa Bei Nafuu, Unaletewa Mpaka ulipo

    Kweli kabisa mkuu bei zako ni reasonable sana, wasilinganishe hizo za Tigo ambazo ni locked halafu ni promotion maana tigo pale hawakuuzii kwa ajili ya biashara ya simu hardware bali kwa ajili ya kukuvuta uwe mteja na ndio maana wanakupa na vifurushi vya kutosha wakidai wanakurudishia hela yako...
Back
Top Bottom