Rished Bade ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu Mpya TRA

Rished Bade ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu Mpya TRA

We dada MOSSAD II huyo anaejiita qn of sheba! Ameweka unafiki huo hapo juu! Wa kusema huyu muheshimiwa alisababisha hasara Barclays wakati yeye ni manager!

Mimi nikamuuluza USHAHIDI WA HAYO MADAI YAKE!

Halafu unaingia wewe huku umenufungia kibwebwe kiunoni! Shanga zote ziko nje unaniuliza mi Nimejuaje km HAKUTIA HASARA!

Hivi we kweli huwa unafikiri kabla ya kuandika hayo mapovu yako humu??

Na nina imani nyie wote wawili mnajidhani ni wayahudi lkn mkiangalia makalio yenu mnayakuta meusiii!

Kuku maji aliekosa manyoa makalioni!

Mnfnsssssssss!

Hahaa Nakusalimia brother .. mnalamba matapishi yenu sasa
 
Last edited by a moderator:
Huyu anastahili kabisa nafasi hiyo,toka ameingia tra binafsi nimeshuhudia mabadiriko makubwa ya kiutendaji katika taasisi hiyo.

Naamini uzoefu wake huko nyuma haukuwahi kumpa fursa ya kujifunza mazoea ya rushwa,hivyo sababu kapewa rungu kabisakabisa nategemea kuanza kuona tra inayojiweka mbali na rushwa.

Ile collection target anazowapa manager zitakuja kuleta matatizo huko mbeleni,yaani unakutana na ofisa wa tra akiwa yuko nyuma sana ya target mpaka anampigia magoti mlipa kodi alipe tu hata azididhe kidogo next quarter watabalasinsha. I like the pessure.

unajisikiaje leo
 
We unajiita kahtaan sijui, kwani kudoubt ajabu?... Hayo ni maoni yangu kuwa miaka aliyokaa hiyo bank ndo miaka ambayo hiyo bank ilifanya vibaya na kuibiwa pesa nyingi na kufungwa branch zao kumi, na staff wengi walioharibu waliacha na wengine kupunguzwa... Ajabu nini nawewe doubt yako.

Mbona mnawashutumu mafisadi mnaushaidi na pesa zao huko Uswiss? Wewe kama wewe ulishawah kuaccess account zao huko..
Doubt mpelekee babu yako.
Huu ndio unafiki tusioutaka ktk jamii.

Mi nikisema I doubt you were born out of wedlocks will i be wrong?
Its just a doubt dipstick don't bit me.
[emoji23]
 
Doubt mpelekee babu yako.
Huu ndio unafiki tusioutaka ktk jamii.

Mi nikisema I doubt you were born out of wedlocks will i be wrong?
Its just a doubt dipstick don't bit me.
[emoji23]

Hahaa brother vipi tenaa yaliyomo yamo. . Mchapakazi wenu chali. .. mjifunze kuannalyse output siku nyingine. Sio mnasifia tu kila kitu, lazima uwe na mashaka kana mtu rekodi yake ya nyuma sio nzuri bado unabishaaaa . Poleni aisee nadhani mmejifunza sasa
 
ninamashaka na utendaji wake kwani alikuwa CEO wakati Barclays bank(Tanzania) inapata hasara ya bilioni 8 iliyotokana na mikopo hewa.

Sahivi hasara bilioni 80 ndani ya mwaka mmoja na nusu.
 
Two CEOs down, eight more to go!!!! Let us wait and see!!! Mwaka huu vibosile wa Tanzania lazima waisome namba!!!
 
Hongera Bw Bade , una kazi kubwa ya kufanya kuondokana na rushwa TRA, Lakini pia kodi zimekuwa nyingi sana kwa mtanzania, yaani mtanzania wa kawaida kununua Gari ni dhambi kuubwa sana, atatotozwa kodi mpaka basi, walau mkae chini mrekebishe format ya matozo ya magari mnawaibia sana watanzania.

Naye mwisho wake umefika.
 
Nimeusoma uzii....watu tuwe na akiba ya maneno....Hongera rais kwa maamuzi magumu...sio mwenzako alikuwa anateua tume kuchunguza wizi wa waziwazi kabisa.....!!!
 
hongera bw bade , una kazi kubwa ya kufanya kuondokana na rushwa tra, lakini pia kodi zimekuwa nyingi sana kwa mtanzania, yaani mtanzania wa kawaida kununua gari ni dhambi kuubwa sana, atatotozwa kodi mpaka basi, walau mkae chini mrekebishe format ya matozo ya magari mnawaibia sana watanzania.

poleni cna.kuumbuka time
 
Tumaini Makene

Visa vyenu chadema mlivyonavyo dhidi ya uislam basi msivipeleke kila mahali.

Huyu kijana wetu ni mchapa kazi hodari na thats why kastahili post kama hiyo,huyu sio zitto kabwe ambae mmezoea kumpiga majungu kwenye hiyo saccos yenu.

Acheni kupalilia udini jengeni hiyo sacoss iwe imara zaidi.
Na anachapa kazi kweli kweli#HAPA KAZI TU
 
Last edited by a moderator:
Wewe mfuasi Lowassa naona bado unazungusha mikono.

Teh teh teh

Ahahahahaaaaaaaa ulimwaga misifa mingi, Mara ooh mchapa kazi, Mara hongera za kumwaga Leo umekuwa mpole kama kifaranga cha Kuku Mtaisoma namba
 
Back
Top Bottom