Brevis, altezza, Cardina 2002 na grand mark2 gx110, ipi ni gari sahihi kwa matumizi ya kijana wa kileo?

Ongezea suzuki carry, bajaji na yale magari yote ya bei lahisi ya kubebea mizigo ndio magari bora kwa kipindi unaendea kazin ukirudi unachapa mzigo kijiweni
 
Wakuu naomba msaada wa wa magari hayo manne ipi ni gari sahihi kwa matumizi ya Kijana wa kileo, namaanisha ipo multipurpose kwa kutoka nayo out, Speed ikiwezekana unapotaka kutembea Mkoa hadi Mkoa na shughuli za pori kiasi!?
hizo gari ndugu kama kipato chako cha mpaka usubiri biko au tatu mzuko,huta kuja kuuza kwa bei ya kijinga alafu matengenezo ni bei juu,ukitaka gari ya kazi na kuendana na maisha yako zipo,ukitaka ya kuuza sura sipo.
 
Gx 110 ndio gari pekee hapo.. Wote hao watakuja wataenda wataiacha.. Ni practical vehicle... Rear drive.. Imetulia barabarani handling safi kabisa.. Economical ukilinganisha na ukubwa wa injini... Injini take very reliable..
mark II ni outdated
 
Una uhakika na ukisemacho

Umewahi kukutana na altezza 3S GE cc 1998 au altezza Gita 2JZ ila hiyo brevis yako cc 2500 ukimfukuza utaambulia moshi tu.

Brevis mark 2 grand caldin za kike na kizee mjini umewahi kuona mzee anaendesha altezza kamawapo wanahesabika kwani haiwapendezi ila brevis hata babu yangu anayo maana nzito.

Kwa kijana kama pochi ipo opt for altezza you wont regret safari ipo ina balance body ngumu isifuate inavyoimba ukiifuata tunakuokota kwenye mtaro.
Watu wengine bwana .Alteza bim2000 ifukuzane na brevis cc 2500 au 3000 ???umewai kuzitumia hizo Gari zote ???unajua kama brevis inasensa ???unajua Kama brevis imatengenezwa kwamfumo wabenz??unajua kama brevis ukipoteza funguo kuchonga funguo nyingine ni laki 3??
 
Watu wengine bwana .Alteza bim2000 ifukuzane na brevis cc 2500 au 3000 ???umewai kuzitumia hizo Gari zote ???unajua kama brevis inasensa ???unajua Kama brevis imatengenezwa kwamfumo wabenz??unajua kama brevis ukipoteza funguo kuchonga funguo nyingine ni laki 3??
Ushawahi angalia engine ya altezza 3S umewahi pima cc za piston yake moja ukalinganisha na hizo sita za brevis unajua rpm ya tezza na brevis zipoje unajua altezza ina torque kiasi gani unajua dif yake ipoje unajua giabox yake ipoje kulinganisha na brevis unajua ina gia ngap na inachage gia baada ya rpm ngap na hizo rpm unazipata kwa sekunde ngap ukilinganisha na brevis njoo kwenye Horsepower ya altezza na hiyo brevis angalia na mzigo inaobeba body ukiangalia hapo ukafanya ka research kadogo tu utaelewa tofauti ya gari hiyo brevis na altezza. Altezza level yake ni BMW angalia mafuta angalia tyre altezza zote zina low profile tyre kwa ajili ya racing drifting.


Mimi na progress na hiyo altezza sasa brevis na progress nan ametengenezwa kam copy ya benz.

Hapo sijazungumzia altezza zenye injini 1G na 2JZ sijawahi tumia hizo
 
Back
Top Bottom