Hatugombani
JF-Expert Member
- Jun 15, 2013
- 1,155
- 822
huku Tanga,muda jioni,intanet yao inakuwa slow zaidi ya mwendo wa konokono.Tigo jirekebisheni.
Hawa tigo ni wazi sana nimeamua kuivunja laini yao. Nimeweka vocha nikajiunga kifurushi, nimepiga simu mpaka muda umeisha ghafla inaingia meseji wamenikopesha 1300 nitalipa 1500. Sikuhitaji kukopa wala kukopeshwa. ....
Hii nayo kali.
Sent from my radio
mmh! Hizi comedy sasa. Mbona badiliko kubwa sana! Au ilikuwa promo! Ngoja nisubiri airtel sasa, maana voda kimeshanuka, laini nimeweka kwenye kikombe.
Tuwahame fasta...
Nimehamia zantel
Na kuna kipindi huwa network inakua hamna siku nzima na hamna taarifa
Wajanja sana hawa watu. wakifanya hivyo kwa watu laki 2, ni 200*200000=40,000,000Tshs. Dah!! Utahamia wapi sasa? Kote hamna huruma! Ni ulimwengu wa mbwa anakula mbwa.