Recent content by d chen

  1. d chen

    Kwa jirani kunaungua!!!!!

    Waanze kutafutana sasa
  2. d chen

    Mambosasa: Tumempuuza Mwamakula na kumuachia baada ya kutimiza masharti ya dhamana

    Mkuu hbari za mitandaoni huoni kama zina ukubwa wake nin??
  3. d chen

    Moshi: Mkandarasi atoa wiki 1 kwa Serikali kumlipa fedha zake zaidi ya Bilioni 1

    Hakuna kurudia hpo.. uko sawa hesabu ya kjuamlisha na kutoa tu hiyo hata gawanya hufiki
  4. d chen

    Orodha ya Matajiri wakubwa Afrika

    Kwa hakika sielewi hawa jamaa wanapataje ela. Mungu kwel yupo
  5. d chen

    Soma ujifunze: Jinsi kijiwe changu kilivyosababisha mtu akalizwa 2M na tapeli leo

    Daah cpat picha hyo jamaa alvyo sasa.. bnaadam htar sana
  6. d chen

    GE2020 Wabunge wa darasa la 7 na form 4 mwisho 2020

    Huo ndo ukwel hawa std7 wakjitahid sana ni kumezeshwa point1 bas.. mle ndan wakijaa wasomi lazima kutawaka kwa hoja.. sio sasa kelele nyiing
  7. d chen

    Hizi barabara anazojenga Magufuli Arusha ni hatari ona hiii

    Ziko sehem gan hiz kesho asubui unikute hapo
  8. d chen

    Wakati nayaanza mapenzi

    Siku nikifanikiwa kupga shoo ya hvi naahid ntaweka singeli mtaani siku3. Mniombee
  9. d chen

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Subirin mech ijayo hii ndo bas
  10. d chen

    Unapenda kiliwazo gani unapopanda kitandani?

    Stareh mtakato hiyo
  11. d chen

    95% ya wanao tafuta wachumba humu wana umri mkubwa hadi wanajishtukia

    Asiye na bahat habahatiki..kiongoz kama hukua na bahat punguza kutibua maji .. wa kupendana tuendelee kutaftana banaa
  12. d chen

    Azam TV sio kila mteja wenu ni islamic

    Asalaam aleykum kiongoz mzalendo Sent using Jamii Forums mobile app
  13. d chen

    Shule za Kiislam zinatia aibu kitaaluma, BAKWATA mnastahili kulaumiwa

    Hii shule nayo ni shida... naijua vizuur sana. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. d chen

    Shule za Kiislam zinatia aibu kitaaluma, BAKWATA mnastahili kulaumiwa

    1.Wazazi weng hawapeleki watoto kwa hiz islamic kwa sababu mbalimbali zikiwemo sababu dhaifu kama ugaidi japo wenyewe ni waislam. Ukiwa na uhaba wa wanafunz bas mipango ya kupata matokeo makubwa ni ngumu. Mf. Kuchuja wanafunz hutoweza.... kifuatacho ni kua na wanafunz wchache vilaza. 2. Kuna...
  15. d chen

    Mji wa Arusha unakuzwa(overrated)

    Mf. Kipi kikubwa arusha Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom