kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,648
kwiooooooSasa atagusaje mpira kama viungo hawampi? au ulitaka awe kiungo?
kwiooooooSasa atagusaje mpira kama viungo hawampi? au ulitaka awe kiungo?
Mwenyewe anajikaba atapataje mpira poor Martial poor JamesSasa atagusaje mpira kama viungo hawampi? au ulitaka awe kiungo?
Same old sh#t
Just a different day
AiseeMwenyewe anajikaba atapataje mpira poor Martial poor James
Hii mechi hamtoki Mourinho hafungwagi mara 2 na timu moja kwa msimuGame tunashinda hii.. tuweni wavumilivu kuna vitu vidogo tu vinaenda kurekebishwa 2nd Half
Ndo kunakucha kuchaKunani wajameni?
Ndo kunakucha kucha
bado wewe next week una msiba mzito.Piga mbuzi hao
Lampard Kamfunga 2 times.Hii mechi hamtoki Mourinho hafungwagi mara 2 na timu moja kwa msimu
Lampard na Ole ni watu wawili tofautiLampard Kamfunga 2 times.
But Bado Game mbichi



KibabeTutapindua meza au siyo?