Hizi barabara anazojenga Magufuli Arusha ni hatari ona hiii

Yeye ndiye mwamuzi wa mwisho
Angeweza kuamua akale bata new Zealand au bahama ila ameamua zifanye maendeleo
Wewe Ni zwazwa
Narudia Tena wewe Ni zwazwa

Hizo pesa zinazojenga Ni za wananchi
Imekua magufuli magufuli
Kwa hiyo ulitaka azile?
Pumba kabisa.
 
Back
Top Bottom