95% ya wanao tafuta wachumba humu wana umri mkubwa hadi wanajishtukia

Hendisamu

JF-Expert Member
May 9, 2019
319
500
Wakuu haka ka weekend ka leo kazuri nimetulia home napitia pitia threads humu. Ila kuna kitu nimegundua, najua kuna watu humu walishapata wenza na wengine wamekosa kabisa

Baada ya kupitia threads zao wale naoweza kuwaita clients (wateja wanao tafuta wateja wenzao) nimegundua wengi umri wao umeenda zaidi ya 29 years na wengi wao ni wanawake

Lakini kwa wanaume ni % chancelakini wengi wao ni vijana wasio zidi miaka kati ya 20-27 na hapa utagundua kuwa hawapo serious wana enjoy comments na charting pekee kidogooo wamepigwa chini na videmu vyao

Nyie wakubwa KE kama mpo serious kweli angalieni kuna madogo humu wanawachezea akili

Nilikuwa najaribu kuwatoa tongotongo baadhi ya wasiofahamu hili

Bado naendelea kuenjoy ka weekend, wasalaaam.
 

iam Lucha

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
2,042
2,000
Sasa bro kwani kuwa na mahusiano na Dem mwenye miaka 29+ ni vibaya? Heb acha kutuharibia mkuu sisi wengne tunapenda waliotuzid umri
 

Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
7,157
2,000
Kweli mkuu! Mimi mwenyewe hapa nina miaka 21 tu!๐Ÿ™„ na kesho Jpili narudi zangu skuli kumalizia masomo yangu ya kidato cha sita kwenye shule fulani hivi ya masela watupu huko Mkoani Mbeya.
 

Msukuma wa dar

JF-Expert Member
Jul 14, 2016
1,171
2,000
Haha.. raha ya jf ni kuingia na kukuta PM kuna tumesej umetumiwa na mchumba. Sio unaingia hukut ktu Inatiaga hasira sanaa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom