Recent content by cosmonaut

  1. cosmonaut

    JamiiForums Tanzania Simulizi ya kijasusi - Nilimdhania kahaba kumbe bikra

    Kiujmla simulizi ni love fantasy zaidi, kuliko espionage.
  2. cosmonaut

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu Tanzania: Mlioficha Dola zirudisheni kwenye mzunguko

    Hiyo pesa ya Japan [emoji384] unaitoa wap wakati hakuna chochote unachouza Japan. Mlinganyo wa fedha za kigeni ni mwepesi tu; Zalisha sana na Uza nje sana = Fedha za kigeni, alafu zitumie vizuri Kwa Kuagiza/nunua Nje vitu Muhimu na vya Lazima tu. Tena ikiwezekana uku unafuatilia akibika yako...
  3. cosmonaut

    JamiiForums Tanzania Benki Kuu Tanzania: Mlioficha Dola zirudisheni kwenye mzunguko

    Dhahabu tuichimba na nin au jembe la mkonoi!??maana machinery systems za mining zinauzwa Kwa Dola kuzifanyia service malipo Kwa Dola[emoji1727]
  4. cosmonaut

    JamiiForums Tanzania Rais wa Misri atoa wito hatua kuchukuliwa ili kupunguza Uzazi Nchini kwake, ni kutokana na idadi ya watu kuongezeka

    Walivyo wabaguzi Kwa race zingne[emoji1544], infact most Asians are, they are only friendly when the relationship is transactional... Yaani Wahindi wanazaliwa Tz Upanga wanakulia Tz ila lugha ya kwanza mtoto kujua kuongea nikihindi, then English anakuja kujua kiswahili hata lafudhi ishakomaa ya...
  5. cosmonaut

    JamiiForums Tanzania Jinsi mwizi anaweza kuiba pesa kwenye simu yako ambayo haina passwords kwenye line

    Namba ya iliyotumika kusajilia pia inapakana Kwa kupiga *106#, mwaka,tarehe na mwezi wa kuzaliwa inapatikana kwenye na ya kusajilia.... Hatari sana tuwe makini...
  6. cosmonaut

    JamiiForums Tanzania Chuki dhidi ya January Makamba inatoka wapi?

    Kama tatizo ni CCM, hao uliowataja wako ndani ya kagenge flani kadogo(watu wacheche) ambao ndio wanaiendesha CCM Tena Kwa kutaka iendelee hivi hivi(kukumbatia kujuana,rushwa,ufisadi,kutokuwajibika,kutokufuta katiba na Sheria za nchi, incompetence serikalini, umasikini mkubwa Kwa watz, miradi...
  7. cosmonaut

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi sana Afrika (Tanzania) kurudi utumwani

    [emoji849]
  8. cosmonaut

    JamiiForums Tanzania IGA ya DPW imetusaidia mambo mengi. Kwanza kuonyeshea tuna wanasheria wa aina gani, pili kuidogosha fani ya sheria na sasa kila mtu ni Mwanasheria?

    Hakuna kesi ya uwekezaji ambayo serikali itakuja kushinda, siyo kwa kuwa serikalini kuna wanasheria wabaya/wasio na uwezo la hasha, ila kwa kuwa mikataba mingi/yote serikali inayoingiaga huwa imeshawishiwa kisasa, masilahi bisfi, rushwa (n.k) hivyo inapukaja kwenye utekelezaji. Ahadi zote nzuri...
  9. cosmonaut

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba zidisha jitihada za kuifanya nchi ihamie kwenye gesi kikamilifu

    Ni kwa ajiri ya nyama choma si kupikia, gesi/umeme havichomi nyama vizur kama mkaa.... naoweza nunua mkaa ulaya ni watu wenye hela/kipato cha kikubwa... ulaya gesi/umeme ni nafuu kuliko mkaaa
  10. cosmonaut

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    This kit [emoji91]
  11. cosmonaut

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    The long night begin..[emoji19]
  12. cosmonaut

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Pogba, martial kauruka(kuwapiga karata 3 mabeki wa NC utd)
  13. cosmonaut

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Brono Vs CR7 on penalties role..... Nini maoni yako
  14. cosmonaut

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Man U waliichungulia hii business opportunity na kuifanyia kazi.
Back
Top Bottom