Aise mashabiki wa manu tunayo kaz kwel yan baada ya kichapo cha swansea nliishiwa pozi haswa baada ya majigambo mtaan sasa baada ya kupotea toka jmosi jana nkAkutana na jamaa wa arsenal yaan alinipa kicheko na salam ya kinafki hadi nkakosa pozi duuh majanga
Hilo bomu halijategwa kwa ajili ya discourage utali. Vama ni restaurant ndogo sana hivyo hao sio magaidi ni vibaka hata uharibifu co mkubwa .hivyo inanifanya niamini sio al shabab.
Pili mi nashawihika sana kwamba hao walio lipua hilo bomu ni visa tu vinavyohusishwa kati yao na mkuu wa mkoa baada...
Mi celewi kbsa nmechanganyikiwa ukwel ni upi sasa yesu pia alifanya miujuza kama kufanya ile mikate na samaki kuliwa na wengi..kutuliza bahari na wanafunzi wake walipovua walipata samaki wengi lakini pia biblia inaonya juu ya manabii Waongo mm
Binafsi nadhan hizo kashfa sio za kwel kutokana na sababu hizi
i.wahitimu wa udom wanapata fursa za ajira kama kawaida.
ii.wahitimu wa udom wanaojiendeleza vyuo vingine wanafanya vizuri haswa masters mfano udsm.mu sua n.k
iii.pia wahitimu wa udom wanaofanya mitihani ya bodi mbalimbali mfano nbaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.